Natafuta kazi yeyote halalii Niko Mwanza mjini

judey

JF-Expert Member
Jul 17, 2021
436
514
Mie ni kijna miaka 24 ,mwenye hofu ya Mungu na mpambanajii
Mie ni mwenyeji wa Kahama , nipo mwanza kuanza maisha rasmi baada ya kumaliza chuo dar es salaam na kupambana sana ,
nimefanya biashara lakin bado sikufanikiwa ,

1, nilifanikiwa kufungua kampuni ndogo ya usafi wa majumbani ,maofisin namahospitalini , ilikufa kutukana na kushindwa kuendesha sabab ya mtaji ulikuwa. Mdgo
2,nimefanya biashara ndogo ndogo nyingi
Nimeuza asalii mbichii nimetembea Sana jijini dar se salaam
Nimeuza vimfuko
Nimeuza viatu vya mtumba
Udalali nimefanya
Na nyingine nyingi

Sasa nimehamia MWANZA baada ya kufeli dar es salaam

Kielimu :nina diploma marketing in public relations

Uzoefu wa kazi tofauti tofauti

1, nimefanya kazi ya store keeping kwa miez mitano katika duka moja hapo kariakoo jijin dar es salaam

2,nimefundisha masomo ya kiingereza. na hesabu ( darasa la kwanza Hadi O level)

3,nimewahi kuendesha account ( social media ) za moja ya msanii hapa bongo

4, nimewahi uza duka la vifaa vya keki

KAZI NAZO HITAJI
1,Kufundisha ( masomo ya kiingereza na hesabu )
2, kuuza duka, au kusaidia dukani
3, marketing officer
4, store keeper

Note : kazi yeyote halalii nafanya yenye malipo kuanzia 5000/= kwa siku

MUNGU NI WETU SOTE , ALIYEKUPA WEWE NA MIE IPO SIKU ATANIKUMBUKA

NAWASILISHA !!!!!!!!! 0626456047
 
Hebu cheki na mchina huyu anayejenga road ya igoma buhongwa.akajaza wakenya inabidi wale wakenya waletewe fujo waondoke Mana uhamiaji wakija pale kwa mchina wanatulizwa Kama mtt wakenya wanaachwa. Mshika kibendera hata unaweza ukafanya.ama ukawa msaidizi wa saveya malipo ya kibarua saiti ya ujenzi unaanzia 16500.
Fika pale upambane Ni nchi yako na wewe una mamlaka nayo.
Mbunge aliambiwa Ila bado nawaona wakenya wapo. Inabidi Hawa washughulikiwe na wananchi Mana kiongozi Ni mtu mmoja tu anaweza akatongozwa akakubalika
 
Hapo kaka sijakupata napataje access ya kuongea na mchina

Labda Kama unaweza kunipa pa kuanzia kaka
 
Umesema uko mwanza. Namie nimekupa pa kuanzia. Ni sawa unaambiwa mahala fulani Kuna binti mzuri. Ama ukimuona binti mzuri lazima utatumia kila mbinu ili hata ujue anaishi wapi,mida yake ya kutoka yaani kwa kifupi utasotea ili umjue mienendo yake.
Mwanaume anasotea k hata mwaka ama miaka.
 
Sawaah kaka
 
Bado nahitaji kazi wwa JF nimeomba Sana kazi humu sijachoka mpk nipate kazii

0626456047
 
Bado nahitaji kazi ndugu zangu Niko mwanza , Kama ni kiwandani au yoyote Ile halali nipo tayarii 0626456047
 
sikukatishi tamaa ila mwanza ni kugumu mnoo, mwaka juzi nilitoka dodoma kuja kujaribu maisha hapa ila najutia sana huo uwamuzi wangu mpaka kesho, kazi nialioambulia ni kuwa saidia fundi kazi ambayo naifanya kishingo upande sana kwani ni ngumu sana ukilinganisha na malipo lakini pia mazingira ya kazi sio salama ,mafundi pia wanajiona wao ndo matajiri watakutuma kila kitu mpaka kuwaoshea vifaa vyao vya kazi pindi kazi inapofikia tamati kwa siku husika
 
Duuh hatarii sana , Mungu mwema huenda nikatoboa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom