maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,505
- 6,440
Giovanni ni la kiume per se....Gianna
Precious
Giovanni
Giovanni ni la kiume per se....Gianna
Precious
Giovanni
Nakazia📌📌💕Dominica
Antonella
Lilian
Nellina
Mtoa uzi hapa usome kwa utulivu, uzi ungefaa ufungiwe hapaNdugu ishu ya jina la mtoto sio sawa na karata.
Inatakiwa kuwa serious Kuna majina yenye laana na yenye baraka
NakaziaNdugu ishu ya jina la mtoto sio sawa na karata.
Inatakiwa kuwa serious Kuna majina yenye laana na yenye baraka
Acha kufagilia jina lako Lilly😂Muite Lilian, Nyota yake itang'aa kila uchwao na Mifuko yake haitakaukiwa na hela.. Na sifa zote nzuri za kisichana atakua nazo.. Mark my words 🤞🤞🤞
Acha basi.. kuna kina Lilian tuko nao kitaa hukuMuite Lilian, Nyota yake itang'aa kila uchwao na Mifuko yake haitakaukiwa na hela.. Na sifa zote nzuri za kisichana atakua nazo.. Mark my words 🤞🤞🤞
Chausiku
Sikujua
Mwajuma
Shida
Havinipi
??Fausta my does ring better
But binti yangu lazima awe anaitwa majina haya mojawapo
-Daenerys
-Abbriana/Brie
-Leonora
😂😂😂😂Acha basi.. kuna kina Lilian tuko nao kitaa huku