yes,yes.yes!!hili jina nililipendaga na Mungu akanipa binti,hapohapo sikuchelewa nikampa jina Naomi,jina zuri sana yaan maana liko kidini,kiafrika na kizungu piaNaomi
Mpe jina mwanao mashaka,shida,mateso,mawazo,tabu,chausiku halafu uje ucomentDaah wabongo bhana mmedanganywa sana na mnaendelea kudanganywa...
Hayo sio majina Mkuu tunazungumzia majina huko Ukinga wapo watu wanaitwa Sterling sijui Brake au Pharmacy...Mpe jina mwanao mashaka,shida,mateso,mawazo,tabu,chausiku halafu uje ucoment
Hapana 🤣🤣Tatizo wabantu, ila mnataka majina ya kizungu. Kitonoli jina sexy sana ilo 😅
Laana inatafutwa!Giggy
😂😂Wengi wetu bado tuna akili za kitumwa sana, matokeo yake tunapoteza alama ya UAfrica wetu..
Mtu anaitwa Carlen John Michael, unajua ni Mzungu kumbe ni mzigua wa kwedikwazu au mkwere wa msoga.
Taja kabila lako tukushauri.Unaweza niambia sofa za hayo majina kidogo
Wazee wa zamani hao wa kiKinga waliona ujanjaHayo sio majina Mkuu tunazungumzia majina huko Ukinga wapo watu wanaitwa Sterling sijui Brake au Pharmacy...
Umeishi pale au huwa unapita tu??Na vile vijumba vyao choka mbaya ndio unawaita matajiri Kuna nyumba Gani nzuri pale kijijini? Shida tupu pale na madebe Yao ya kuuza vitunguu barabarani hayo majina yanawakilisha shida na masumbuko waliyonayo