Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,330
itakuwa ni kozi za kijeshi nadhani za mambo ya kutumbuiza ambazo lugha yake kuu ni vitendo tuUpo sahihi hujakosea mkuu.
Lakini huko Ugerman haileweki kozi gani alichukua.
pamoja na elimu hiyo aliyonayo akiahidiwa kupewa uwaziri na mkuu kwa fadhila ya kumpigia kampeni basi bwana Komba ataenda kwenye vile vyuo vyao kupata Phd kama wenzie (Dialo, Makongoro n.k), ili nae siku ya kuapishwa aitwe WAZIRI WA UTAMADUNI MH CAPTEN MSTAHAFU DOCTOR JOHN KOMBA,
yote kwa CCM yanawezekana