Rais Samia amemteua Dkt. Jabir Bakari Kuwe kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) akichukua nafasi ya Eng. James Kilaba.

Gentleman96

JF-Expert Member
Mar 12, 2019
912
1,666
Rais Samia amemteua Dkt. Jabir Bakari Kuwe kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) akichukua nafasi ya Eng. James Kilaba

Jabir Bakari Kuwe.jpeg

Jabir Bakari Kuwe

CV:

Jabiri Kuwe Bakari (Ph.D) is a Tanzanian pracademic: his experience spans both the academic and practical realms. He is a researcher, trainer, analyst and advisor of repute with over twenty years’ experience in ICT Planning, Management and Security Management.

Dr. Bakari holds a Ph.D in Computer and Systems Sciences from Stockholm University in Sweden (2007), a MSc. (Eng.) Data Communication Degree from Sheffield University in UK (1999), and a BSc in Computer Science Degree from the University of Dar-es-Salaam Tanzania (1996).

He is currently the Director General of newly established e-Government Authority, following the enactment of the e-Government Act, 2019. He has been the CEO of the former e-Government Agency, from its establishment in April 2012 to January 2020, where he spearheaded the Agency’s growth from infancy to its maturity.

Prior to assuming e-Government Agency’s CEO position, he has been working as a Senior Lecturer and Director of Institute of Educational Technology, Open University of Tanzania (OUT) since 2007, the post he took after ten (10) years of holding various technical, management and leadership posts at the University of Dar es Salaam (UDSM) including that of Associate Director of the University Computing Centre in 1999. While at the University Computing Centre, he played a key role in the transformation of the Centre into a Limited liability Company in 2000 where he became the Deputy Managing Director, the post he held until he left for his PhD. studies in 2003. On his return, in 2007, he was appointed as Deputy Managing Director, in charge of Finance, Administration and ICT services at the University Computing Centre (UCC).

Working as a Director and Lecturer at the Institute of Educational Technology at the OUT, he has been the force behind the transformation of the Institute that witnessed the establishment of ICT Training Centres countrywide and in the region. As a Cisco Regional Academy Coordinator and a Certified Cisco Academy Instructor, he played a key role in introducing Cisco Academies in Tanzania between 2000 and 2003. Dr. Bakari is also a founding member of the Tanzania Education and Research Network (TERNET) - http://www.ternet.or.tz/, who spearheaded its establishment in 2008 and became the first Executive Secretary until 2012. His main research is in the field of ICT Security Management in which he has published and presented a number of Articles and Papers at the ISSA, IFIP, and IEEE International Conferences.

In addition, he is an active member of the Information Systems Audit and Control Association (ISACA), Tanzania Chapter, where he once served as a Vice President. He is also a Certified Director as well as a part time facilitator of Directorship Programs focusing on Strategies for Integrating ICT in organizational Governance at the Institute of Directors in Tanzania (IoDT).
 
Uteuzi ndicho wanachojua kufanya
Bei ya vifurushi ndiyo ishapita hivyo
No ajira
No nyongeza ya mshahara
Hakuna kupandishwa madaraja
Kesho sijui atateuliwa nani tena... Kila siku teuzi teuzi teuzi wananikera sana. Hata. Mwendazake naye alikuwa hivyo hivyo
Teuzi teuzi
 
Uteuzi ndicho wanachojua kufanya
Bei ya vifurushi ndiyo ishapita hivyo
No ajira
No nyongeza ya mshahara
Hakuna kupandishwa madaraja
Kesho sijui atateuliwa nani tena... Kila siku teuzi teuzi teuzi wananikera sana. Hata. Wendazake naye alikuwa hivyo hivyo
Teuzi teuzi
Pia lilikuwa jambo la busara kusubiri siku 21 zipite.

Hizi teuzi na tenguatengua zinaanza kutia shaka wananchi wengi.

Monong'ono imeanza mitaani kuulizia haya mavitu.

Ni nani alie nyuma za hizi pilikapilika?

Majibu yote yaja twangojea.
 
Pia lilikuwa jambo la busara kusubiri siku 21 zipite.

Hizi teuzi na tenguatengua zinaanza kutoa shaka wananchi wengi.

Monong'ono imeanza mitaani kuulizia haya mavitu.

Ni nani alie nyuma za hizi pilikapilika?

Majibu yote yaja twangojea.
Noma SIASA
 
Huyu kidata ndo alivuliwa ubalozi au nimechaganya madesa?
Ndo mwenyewe mkuu, JPM alimpa Ukamishina TRA akamchomoa, Akampeleka Ikulu akamchomoa mwisho akampa Ubalozi Canada sijui akafanya nini akamvua mpaka hadhi ya Ubalozi kabisa akamrudisha nyumbani... leo kalamba tena ukamishina wa TRA.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo mwenyewe mkuu, JPM alimpa Ukamishina TRA akamchomoa, Akampeleka Ikulu akamchomoa mwisho akampa Ubalozi Canada sijui akafanya nini akamvua mpaka hadhi ya Ubalozi kabisa akamrudisha nyumbani... leo kalamba tena ukamishina wa TRA.


Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha hayana formula mwanangu.
 
Back
Top Bottom