Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
kaungaunga vi cv ,cadet training unit diploma ndio kidudu gan
Bongo kila kitu kinawezekana, wenye Taaluma Bungeni hawaongei huwa ni Kama mabubu, na wale Vilaza Kama Komba ndio huwa ni waropokaji sana, huku maadili Yao nje ya Bunge yakiwa ni full michepuko, Kuna Taaluma na Elimu , kuna kwenda shule na kufika shule lakini Mtu akaiba mitihani na akawa na Cv nzuri lakini kumbe kichwani Hana Taaluma, ndio Maana baadhi ya wale wanaojiita wasoma huwa hawaeleweki kwenye Utendaji wao wa kazi .Ndo CV za wanasiasa wetu hizo,yaani unakuta vicertificate na na course fupi fupi kibao halafu mwisho anamalizia na STD IV,au VII,au form II...Angalia za wabunge wa ng'ambo ya bahari(Zenji) ama za wale wa Viti maalum ndo utaona vituko...Inasikitisha sana,maana ndo watunga sheria wetu hawa