Naombeni CV ya Kapteni Komba, wa TOT | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni CV ya Kapteni Komba, wa TOT

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Josh Michael, Sep 18, 2009.

 1. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Katika Kuelekea Uchaguzi Mkuu Mwakani leo naombeni kama kuna mdau anajua CV ya Kampeni Komba yule wa TOT ili tuone jinsi alivyo watu watambue kiwango alichonacho Kielimu na kama kweli anaweza kuwa mwakarishi mzuri ndani ya Bunge, Nasikia kuwa ameweza kupata Degree ya open university ya Commwealth ya Political Science..Wadau tunaomba ukweli huu
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  http://www.parliament.go.tz/bunge/mpcv.php?users=24&const=104&button=Go

  Company Name Position From Date To Date

  CCM Chief Culture 1992 2005
  Tanzania One Theathre (TOT) Executive Director 1992 2005
  JWTZ Chief Culture 1978 1992
  Ministry of Education Teacher Grade III 1977 1978
   
 3. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Dah,punguza haraka basi mkuu..Kwa kumbukumbu sahihi ni Captain(Kapteni) Komba na siyo Kampeni Komba
   
  Last edited: Sep 18, 2009
 4. MawazoMatatu

  MawazoMatatu JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2009
  Joined: Sep 6, 2008
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Haya kaka hangaika nayo iyoo..

  EDUCATIONS School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level

  Lituhi Primary School Primary Certificate 1963 - 1969

  Songea Boys Secondary School O-Level Education 1971 1974

  Kleruu TTC Certificate 1975 - 1976

  Cadet Training Unit - Monduli (Diploma) 1978 - 1979

  Magdeburg - Germany (Diploma) 1988 - 1990

  Chuo cha Sanaa - Bagamoyo (Diploma) 1986 - 1988
   
  Last edited: Sep 18, 2009
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hii mkuu alikuwa mwalimu wa UPE {Ualimu Pasipo Elimu} au nimeshindwa kuelewa hapo.
   
 6. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Kleruu TTC Certificate 1975 - 1976
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Ok nimekupata mkuu.
  Anafaidi matunda ya uhuru.
   
 8. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Kepteni naye wamo..lol...Kaungaunga viDiploma vya kutosha aisee:D:D
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mhhh kwenye CV yangu hakuna nafasi ya Primary wala secondary school....vicertificate na na course fupi fupi siweki maana naweza kuwa na CV ya page 20!
   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Josh Michael,

  Li-CV la Major Komba ndilo hilo hapo.

  Ukijumlisha Diploma tatu na Cerificate moja (2+2+2+1) na uzoefu nadhani yupo katika kiwango sahihi?
   
 11. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sasa je na sasa amepata Degree yake Open university, Naona Mwakani atakuja na mengine na bora zaidi kuzidi haya
   
 12. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Ndo CV za wanasiasa wetu hizo,yaani unakuta vicertificate na na course fupi fupi kibao halafu mwisho anamalizia na STD IV,au VII,au form II...Angalia za wabunge wa ng'ambo ya bahari(Zenji) ama za wale wa Viti maalum ndo utaona vituko...Inasikitisha sana,maana ndo watunga sheria wetu hawa
   
 13. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hii ni hatari sana katika maendeleo ya Taifa letu..
   
 14. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Bila ya dhihaka anaimanisha yeye alikuwa mcheza ngoma wa JWTZ na Mwimba Kwaya wa CCM...! Leo yuko Bungeni anajadili EPA na Meremeta....ndiyo maana tupo wa ovyo ovyo...huko Mbinga hakuna hata Mwalimu wa secondary mwenye Diploma?
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hahahahaha mkuu dah utanilipa kwa kunivunja mbavu zangu kha!
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mpwa watu wa Mbinga ni ovyo ovyo sana kama Mbunge wao Komba John. Unategemea jimbo litatoka vipi, jamaa huwa amelala bungeni kila siku? Kahawa na mazao yao ya biashara nani atawatetea? Kulingana na sensa ya 2002 mbinga ina wananchi 404,799...kati ya wote hawa John Komba ndiye bora zaidi na mwenye upeo!
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Alafu unajua alichaguliwa bila kupingwa hata kampeni hakupiga Kaptain Komba yeye alikuwa anazunguka tu na JK msishangae mwakani akawa waziri wa Utamaduni huyu huyu si tupo maana fadhira JK atarudishaje?
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Chukua kadi ya CCM kagombee ubunge. Sifa unazo mkuu.
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280

  Hilo linakushangaza nini mkuu? Hayo ndo mambo ya CCM. Kina Hadija Kopa, Asha Baraka na yule mzee wa maigizo nshasahau jina lake (nadhani mzee Jongo) wote ni vigogo wa CCM. Wajumbe wa NEC. CCM Tambarare
   
Loading...