Naomben ushauri nahisi kuchaganyikiwa

Naomben ushauri nahisi kuchaganyikiwa

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ mwenye kipato cha kati, kinachonichaganya umri unazidi kwenda sina mchumba wala mpenzi wa kuoa kila nikijaribu kuwa kwenye mahusiano mara nyingi nikitongoza huwa nakataliwa mpaka nahisi huenda ninagundu .Nataman sana ningekuwa na mtoto upande wa huduma nikiwa kwenye mahusian huwa nahudumia vzr nikiombwa pesa natoa ila kudumu kwenye mahusiano ndo sidumu kuna muda nawaza niende kwa waganga .Naomben wakunisaidia mnisaidie angalau kwa mawazo tu
💰 Is everything au tafuta demu umpange umzalishe afu uchukue mtoto
 
Je sura yako ina nuru? Je una kimo?

Kama majibu ni hapana tafuta mdada wa kawaida, achana na pisi kali.

Pia kuhonga sio njia sahihi ya kupata mwenza.
Kimo ukimaanisha nn 💰 au urefu sura kuwa na Nuru yaani handsome au
 
Mkuu nina experience ya miaka 6 ku transform kutoka katika hali hii, ila huduma yangu ni ya kulipia ninakuhakikishia ni lazima uone mabadiliko usipoona you will get a refund!
Mmmh miaka 6 kwani ni secondary hii 🤣🤣🤣
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ mwenye kipato cha kati, kinachonichaganya umri unazidi kwenda sina mchumba wala mpenzi wa kuoa kila nikijaribu kuwa kwenye mahusiano mara nyingi nikitongoza huwa nakataliwa mpaka nahisi huenda ninagundu .Nataman sana ningekuwa na mtoto upande wa huduma nikiwa kwenye mahusian huwa nahudumia vzr nikiombwa pesa natoa ila kudumu kwenye mahusiano ndo sidumu kuna muda nawaza niende kwa waganga .Naomben wakunisaidia mnisaidie angalau kwa mawazo tu
Screenshot_20230107-224405_1.jpg
 
Kuwa mpole muda sahihi ukifika utapata hitaji la moyo wako
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ mwenye kipato cha kati, kinachonichaganya umri unazidi kwenda sina mchumba wala mpenzi wa kuoa kila nikijaribu kuwa kwenye mahusiano mara nyingi nikitongoza huwa nakataliwa mpaka nahisi huenda ninagundu .Nataman sana ningekuwa na mtoto upande wa huduma nikiwa kwenye mahusian huwa nahudumia vzr nikiombwa pesa natoa ila kudumu kwenye mahusiano ndo sidumu kuna muda nawaza niende kwa waganga .Naomben wakunisaidia mnisaidie angalau kwa mawazo tu
Tafuta anayeuza ndizi barabarani au matunda matunda, utanishukuru

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Nakosa maneno kuna muda nakaa had dk kumi kufikiria niandike nn ,naandika nafuta nahs nimekuwa sio muongo muongo sijui nimwambie nn msichana
tumia pesa ni kilainishi cha upendo, siku hizi hawataki mbambamba nyingi. Badala ya kukaa kumuandikia gazeti kueleza hisia zako mtoe out, have fun together huku ukimueleza unavyofeel juu yake.
Kama huna pesa hili haliwezi tokea.
 
Mwanamke ni kiumbe asiye na shukrani kaka na wana memory fupi mnooo ya wema wako uliowafanyia. Nilishaachaga kuwachukulia serious 2 years after graduating my bachelors ndio i officially stopped and believed in loving a woman, As a human nawajali ila moyoni hawapo kabisa. Aliyeko moyoni ni mama yangu mzazi pekee.

Komaa na malengo jenga + endeleza assets zako. Believe me mwanamke atakuja by default tu alaf uki tongoza usinyenyekee sana vimba kiaina. Utanishkuru Baadae.
 
wanawake wamejaa bhana afu wengi wako so obsessed na kuolewa

Endelea kutafuta na kusali usichoke
Huenda amefungwa haoni jua wala mwezi,ni aibu mwanaume kulalamika.kuhusu hawa viumbe eti wanakukatilia,wapange kumi hapo watajichuja wenyewe,mimi mwenyewe nina xhenchi zao,hutakiwi kulalamika kwa haya mambo ni kudanganya watu.
Nakosa maneno kuna muda nakaa had dk kumi kufikiria niandike nn ,naandika nafuta nahs nimekuwa sio muongo muongo sijui nimwambie nn msichana anielewe
Mwanamke ni pesa,huna mweleze ukweli sina kitu aamue yeye.
 
tumia pesa ni kilainishi cha upendo, siku hizi hawataki mbambamba nyingi. Badala ya kukaa kumuandikia gazeti kueleza hisia zako mtoe out, have fun together huku ukimueleza unavyofeel juu yake.
Kama huna pesa hili haliwezi tokea.
Kweli braza sipingi japo nishawahi fanya hvyo na mtoto akaingia king kwel ndani ya mwezi mmoja wa mahusiano nikavunja pendo rasmi
 
Kuna mud hawa mademu wala hawana time na pesa zako wanahitaji vitu vingine extra vya kumtia furaha. Unaweza honga sana na ukchpiwa na fala fulani tu. Au una kibamia mkuu?
 
Back
Top Bottom