Naomben ushauri nahisi kuchaganyikiwa

Naomben ushauri nahisi kuchaganyikiwa

Wanawake wanna faida gani ?

Binfsi hiyo nyota yako ndo nzuri

Kwanza unakuwa Msafi wa Roho Mwili na matendo
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ mwenye kipato cha kati, kinachonichaganya umri unazidi kwenda sina mchumba wala mpenzi wa kuoa kila nikijaribu kuwa kwenye mahusiano mara nyingi nikitongoza huwa nakataliwa mpaka nahisi huenda ninagundu .Nataman sana ningekuwa na mtoto upande wa huduma nikiwa kwenye mahusian huwa nahudumia vzr nikiombwa pesa natoa ila kudumu kwenye mahusiano ndo sidumu kuna muda nawaza niende kwa waganga .Naomben wakunisaidia mnisaidie angalau kwa mawazo tu
Nenda kwa mwamposa, wanawake wanaotafuta ndoa wamejaa huko
 
Back
Top Bottom