cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,737
- 189,052
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] pole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] pole
🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee sanaaa.
Muonekano vipi?Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ mwenye kipato cha kati, kinachonichaganya umri unazidi kwenda sina mchumba wala mpenzi wa kuoa kila nikijaribu kuwa kwenye mahusiano mara nyingi nikitongoza huwa nakataliwa mpaka nahisi huenda ninagundu .Nataman sana ningekuwa na mtoto upande wa huduma nikiwa kwenye mahusian huwa nahudumia vzr nikiombwa pesa natoa ila kudumu kwenye mahusiano ndo sidumu kuna muda nawaza niende kwa waganga .Naomben wakunisaidia mnisaidie angalau kwa mawazo tu
[emoji28][emoji28] day and night ..,get rich or die tryinHuna pesaa wee, em tafuta huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hina pesaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] day and night ..,get rich or die tryin
unanikumbusha dem wangu wa kimarangu aseee ndio misemo yake iyo .., anataka niwe na tv inch kubwa 55 kwenda mbele uko ...[emoji1787][emoji1787]
Kwel kabsa kwan napinga mie najijua in and out kudadekiHina pesaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukizipataa wee mwenyewe utaonaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwel kabsa kwan napinga mie najijua in and out kudadeki
Japo nipo na kili light saba nane kichwan ila nakuelewa afu isije ikawa mmarangu na ww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie wa juu kusini,. Sio wa kaskzini.Japo nipo na kili light saba nane kichwan ila nakuelewa afu isije ikawa mmarangu na ww
Ivyo ivyo unaweza ipenda tv yangu ya inch 17 aseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie wa juu kusini,. Sio wa kaskzini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em niiobe kwan.Ivyo ivyo unaweza ipenda tv yangu ya inch 17 aseee
Mpka nirudi niko njian mnyama napepesuka hatarii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em niiobe kwan.
Ooooh poleeeeeh sanaaaa, usisahau kunioneshaaa.Mpka nirudi niko njian mnyama napepesuka hatarii
OkeyOoooh poleeeeeh sanaaaa, usisahau kunioneshaaa.
i know wengi watakuja eti huna nguvu za kiume although ndo ujinga wa sasa hv mara nyeto mara hvi mawazo tu na ukizangatia life limekua gumu sana mpaka tunakosa vibe stay cool utamoata anayekufaa. mzee baba usijihis unyonge wala nini. brother.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ mwenye kipato cha kati, kinachonichaganya umri unazidi kwenda sina mchumba wala mpenzi wa kuoa kila nikijaribu kuwa kwenye mahusiano mara nyingi nikitongoza huwa nakataliwa mpaka nahisi huenda ninagundu .Nataman sana ningekuwa na mtoto upande wa huduma nikiwa kwenye mahusian huwa nahudumia vzr nikiombwa pesa natoa ila kudumu kwenye mahusiano ndo sidumu kuna muda nawaza niende kwa waganga .Naomben wakunisaidia mnisaidie angalau kwa mawazo tu
Mkuu kweli unadhani nalazimika kutoa taarifa zangu kwako wewe?gender yako please na marital status yako nipo
Muonekano wako ukoje,usafi wako wa mwili ukoje ,je una watokea mademu wa aina gani je ni wa level zako? Hayo maswali ndio muhimu sana kujiuliza, kuna uwezekano una fuata mademu ambao wewe sio type yao na ndio maana wana kuacha, jichunguze kwanza kwnye hayo ten ndio utajijibu hapo.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ mwenye kipato cha kati, kinachonichaganya umri unazidi kwenda sina mchumba wala mpenzi wa kuoa kila nikijaribu kuwa kwenye mahusiano mara nyingi nikitongoza huwa nakataliwa mpaka nahisi huenda ninagundu .Nataman sana ningekuwa na mtoto upande wa huduma nikiwa kwenye mahusian huwa nahudumia vzr nikiombwa pesa natoa ila kudumu kwenye mahusiano ndo sidumu kuna muda nawaza niende kwa waganga .Naomben wakunisaidia mnisaidie angalau kwa mawazo tu