Naomben ushauri nahisi kuchaganyikiwa

New HIZ O

Member
Jun 1, 2022
40
65
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ mwenye kipato cha kati, kinachonichaganya umri unazidi kwenda sina mchumba wala mpenzi wa kuoa.

Kila nikijaribu kuwa kwenye mahusiano mara nyingi nikitongoza huwa nakataliwa mpaka nahisi huenda ninagundu, nataman sana ningekuwa na mtoto.

Upande wa huduma nikiwa kwenye mahusiano huwa nahudumia vizuri, nikiombwa pesa natoa ila kudumu kwenye mahusiano ndiyo sidumu. Kuna muda nawaza niende kwa waganga.

Naombeni wakunisaidia mnisaidie angalau kwa mawazo tu.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ mwenye kipato cha kati, kinachonichaganya umri unazidi kwenda sina mchumba wala mpenzi wa kuoa kila nikijaribu kuwa kwenye mahusiano mara nyingi nikitongoza huwa nakataliwa mpaka nahisi huenda ninagundu .Nataman sana ningekuwa na mtoto upande wa huduma nikiwa kwenye mahusian huwa nahudumia vzr nikiombwa pesa natoa ila kudumu kwenye mahusiano ndo sidumu kuna muda nawaza niende kwa waganga .Naomben wakunisaidia mnisaidie angalau kwa mawazo tu
Mkuu nina experience ya miaka 6 ku transform watu kutoka katika hali hii, ila huduma yangu ni ya kulipia ninakuhakikishia ni lazima uone mabadiliko usipoona you will get a refund!
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ mwenye kipato cha kati, kinachonichaganya umri unazidi kwenda sina mchumba wala mpenzi wa kuoa kila nikijaribu kuwa kwenye mahusiano mara nyingi nikitongoza huwa nakataliwa mpaka nahisi huenda ninagundu .Nataman sana ningekuwa na mtoto upande wa huduma nikiwa kwenye mahusian huwa nahudumia vzr nikiombwa pesa natoa ila kudumu kwenye mahusiano ndo sidumu kuna muda nawaza niende kwa waganga .Naomben wakunisaidia mnisaidie angalau kwa mawazo tu
Kudadeki,ukiona hivyo mkuu usilazimishe,nunua gari yako mbwa wako Jenga nyumba nzuri,alafu njoo utupe mrejesho.Wakati.mwingine ni Mungu anakuokoa,hebu jaribu kukomalia mali,hawa wanawake wengine wana mapepo ya umasikini Komaaa na malengo
 
Back
Top Bottom