Naomben ushauri nahisi kuchaganyikiwa

Naomben ushauri nahisi kuchaganyikiwa

Tafuta pesa huyu mwamba apa anamiliki pisi ya kizungu

stephen-wasira.jpg
 
Huna pesaaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafuta pesaaa, hutahangaika hata kusave, wee ni kupiga na kutuma miamala tyuuh.
Pesa ipo ila naipeleka kwenye mitungi zaidi yan naitumia binafsiiii zaidi ila sikupingi ngoja nizisake zaidi mama mana hata za bill gates hazikutosha
 
Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko, Na divai huyafurahisha maisha; Na fedha huleta jawabu la mambo yote.

Mhubiri 10:19
 
Pesa ipo ila naipeleka kwenye mitungi zaidi yan naitumia binafsiiii zaidi ila sikupingi ngoja nizisake zaidi mama mana hata za bill gates hazikutosha
Huna pesaa wee, em tafuta huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ mwenye kipato cha kati, kinachonichaganya umri unazidi kwenda sina mchumba wala mpenzi wa kuoa kila nikijaribu kuwa kwenye mahusiano mara nyingi nikitongoza huwa nakataliwa mpaka nahisi huenda ninagundu .Nataman sana ningekuwa na mtoto upande wa huduma nikiwa kwenye mahusian huwa nahudumia vzr nikiombwa pesa natoa ila kudumu kwenye mahusiano ndo sidumu kuna muda nawaza niende kwa waganga .Naomben wakunisaidia mnisaidie angalau kwa mawazo tu
Ukimpata utachanganyikiwa zaidi.
 
Back
Top Bottom