naomben iushauri wapendwa

Dah!ningepata mm hiyo bahati yakukutana na mtu wa aina yako ningekua ndio nimefika!
 
Pengine Maumbile yako yanawafanya wao wasikuamini au Tabia na Historia yako kwa ujumla. Mfano leo hii mtu ukaambiwa Wema ni Bikira itakuwa ni ngumu kuamini. Ni mtazamo wangu lakini japokuwa huwa napenda wanawake kama nyie.
 
lis pole mwaya, but hujakosea kwa kuwaambia ukweli.

nijuavy mimi hao wanaimbia manake wanajua hadi kupata date itachukua muda sana, na pia hawawz hata kazi ya kubikiri kam aujuavyo wanaume wenyewe hawa wa punyeto, na mibia tu hawana hizo nguvu.

ushauri wangu kamwe usiutoe ubikira wako kwa kiumbe chochote cha kiume pasi kwenda kwa shehe au kwa kasisi. wakisha kutoa utaumia maisha mdogo wangu. wewe u mwanamke miongoni mwa wachache sana ambao wanafika umri huu wakiwa na bikira zao. Endelea kujitunza na kumwomba Mungu akupatie mume aifungue na wala siyo ki bf au hawara hapana.

mwisho naomba siku ukimpata, ukaanza process za ndoa uniambie ili nije nikufunde eeeeh! nakuona wa thamani kuliko dhahabu na lulu. Good girl
 
Last edited by a moderator:
bikra sio sifa, bali ni usumbufu na karaha kwa sasa na hapo baadae, kwa maana kwamba hata mkija hitilifiana kitu kidogo tu, mtu anaanza ooh c unajua we ndo uliniharibia ubinti wangu, or bora ningebaki na bikra, oooh nilikupa zawadi kubwa....ooooh mi ndo msichana nilojitunza kuliko wengne wote....full makelele, hata mi siipendi.
 
uwiiiiiiii my ribs! lis hiyo ndio sifa nzuri kwa mdada yeyote mwaya, usiitoe kwa kidole wala mtwangio halisi. atatokea tu ambaye atakuthamini na kuithamini. so vumilia muda bado. take care.
 
hao wanakimbia bcoz,nia yao ni (ku du) na wewe,sasa unapomwambia wewe ni sealed,kifuatacho ni subiri mpaka tufunge ndoa,wakati yeye lengo lake ni kufanya tu,sio kuoa.
 
kuna usemi kuwa ukweli unauma sasa kwa maneno yako inaonekana bado hujapata mtu aliye sahihi kuwa mpenzi wako. nakuomba utulie na mwenyezi mungu atakupa aliye sahihi
 
bikra sio sifa, bali ni usumbufu na karaha kwa sasa na hapo baadae, kwa maana kwamba hata mkija hitilifiana kitu kidogo tu, mtu anaanza ooh c unajua we ndo uliniharibia ubinti wangu, or bora ningebaki na bikra, oooh nilikupa zawadi kubwa....ooooh mi ndo msichana nilojitunza kuliko wengne wote....full makelele, hata mi siipendi.
so true. If you're going to cash in your V-card, do it with your husband. A lot of girls think just because they gave themselves to you then you owe them your life or something....
 
tulizana dada, unata kila anayekubeep basi awe mumeo? hiyo haiwezekani, tulia atakuja bikira mwenzako, mbona wanaume mabikira wapo tu.
 
hicho ni kipimo cha slow thinking behavior, at 26yrs bado bikra? Utazaa lini upate watoto? At 75!

Na kuna risechi ya uswazi kuwa kama kicha cha chini ni butu hata cha juu butu pia, wee sio mtu unayependa kujifunza, kifupi mzembe.

Wanammme wanaogopa kuharibu mbegu za koo zao, inakuwa kama wanakaribisha kilaza.

Si uliona ile sred ya wanawake si wachoyo kwa wanamme wenye akili, wanapenda kuzaa nao lol

Mwaya, hapo juu nakutania si kweli wewe shujaa karibia utaingia kwenye Dar geneous book
 
Nilihisi mwili kufa ganzi, is that you? at last nimepumua.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom