Naomba uwe rafiki yangu.

taratiibu nina maswali. Pm ni nn? Mia ni nn? Nina was nawee kua mshobokaj wa ke. Nitakuamin vip?

Mkuu huu ni mwanzo, usitake kujua mambo yote kwa wakati mmoja. hata kwa sauti tu utaweza nigundua kama mimi ni ke au me. halafu ukitaka kujua "MIA" ni nini angalia kwenye profile yangu. Naomba uniulize maswali yanayo nihusu mimi tu. pm ni ujumbe wa siri(private msg).kuhusu utaniamini vipi ni wewe na moyo wako.kama una moyo wa iman utaniamin. untumie contact kwenye pm. mia
 
cmu yangu uwezo mdogo siwez private msgin. Kama upo crias san mambo ya mapenzi nipo off kwa mda. Kama vip mwenyewe utachek.
 
cmu yangu uwezo mdogo siwez private msgin. Kama upo crias san mambo ya mapenzi nipo off kwa mda. Kama vip mwenyewe utachek.

mbona simu ndo ipo powa kwa mambo ya pm? mi nimeshachek naona poa tu. kama upo off kwa mda hamna tabu hata mimi ntakusubili kwa mda kwa kua naona unaonyesha ushirikiano. kwa maneno yako naona ushakubali. asante kwa kuwa mpenzi wangu.Mmwaa..!!. Mia
 
Una uhakika gani kama hawa wa Jf hawatakuharibia kama wa Fb?. Tena bora FB wanatumia majina halisi, hata picha wanabandika za kwao halisi. Jf ni invisible site.
 
mbona simu ndo ipo powa kwa mambo ya pm? mi nimeshachek naona poa tu. kama upo off kwa mda hamna tabu hata mimi ntakusubili kwa mda kwa kua naona unaonyesha ushirikiano. kwa maneno yako naona ushakubali. asante kwa kuwa mpenzi wangu.Mmwaa..!!. Mia

hahahaha WE MCHIZI M'BISHI
 
@ figgarniggar ngoja nipate cv yako.

mimi kungoja sina tatizo sema nakuonea huruma sababu unatafuta hutakipata jf. cv ya mapenzi ni kujua mtu yupo single au double? kwa jinsi ninavyojiexpress hapa ni cv tosha ya kukfanya uamin nipo single halafu ukimchunguza bata sana hautamla. nakushauri usichezee bahati sababu huwa haiji mala mbili na mpende akupendae. ndo hivyo mwenzio nakupenda. nia yangu ni kukutibu majeraha. mia
 
hahahaha WE MCHIZI M'BISHI

hawa viumbe usipo komaa hupati kitu. bora hata huyu kanielewa. wengine ili wakubali wanakuanza na matusi kwanza kama una roho ndogo utaachia kamba mda huo huo. lakini ukikomaa nae unakula mzigo. mwanaume lazima ukomae. mia
 
Najisikia mpweke sina marafiki hapa Jamii Forums.:grouphug: Wa face book wameniharibia maisha siwataki tena.

POle mpendwa, huko waliharibu tu, huku watakufanya kuokota makopo barabarani. Pole sana anza kutembelea makanisani utapata tu.
 
Back
Top Bottom