mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
DINGI mandojo na domo kaya
Kwanza nikusahihshe, usitumie neno "nyumba yangu" hiyo siyo nyumba yako.Tatizo naishi kwenye nyumba ya serekali na wakijua anaishi hapa nitakuwa nimepoteza nyumba yangu ya kwasababu mkataba utavunjwa kwa kutoheshimu mkataba pili hajishauriagi yeye ni uongo tu ata nikimwambia mambo ya kujenga maisha yake anakuona kama adui yake vile
Kwanza hako ka dingi siyo kazee, 46yrs si msela tu huyo? Nawaza sijui kalimzaa huyu dogo kwenye uasherati, miaka 46 sasa kalimpata kakiwa na miaka 16? Fikria kijana labda ana miaka 30! Akatimue tu maana hakana maana!Pamoja na yote hayo ndio useme anapenda kula sana 😳 ......heshimu Baba na mama upate miaka mingi na heri duniani....tumia wazee wenzake kumshauri ataelewa tu.usimfukuze mzazi wako
Sasa miaka 46 ni mzee huyo?Pamoja na yote hayo ndio useme anapenda kula sana 😳 ......heshimu Baba na mama upate miaka mingi na heri duniani....tumia wazee wenzake kumshauri ataelewa tu.usimfukuze mzazi wako
Huyu andazi ni andazi kweli kweli. Ni mtu wa fix sana. Juzi juzi hapa alileta stori akidai kuwa yamemkuta. Stori hiyo inaaminika alicopy na kupaste kutoka Facebook. Huyu ni mtu wa kamba sana na hapaswi kuaminika.Kwanza hako ka dingi siyo kazee, 46yrs si msela tu huyo? Nawaza sijui kalimzaa huyu dogo kwenye uasherati, miaka 46 sasa kalimpata kakiwa na miaka 16? Fikria kijana kabda ana miaka 30! Akatimue tu maana hakana maana!
sasa ulimchukuaje aje kuishi kwako wakati unajua ni kosa? au hilo kosa kisheria ndo unaliona sahv baada ya kugundua hayo madhaifu ya baba yakoTatizo naishi kwenye nyumba ya serekali na wakijua anaishi hapa nitakuwa nimepoteza nyumba yangu ya kwasababu mkataba utavunjwa kwa kutoheshimu mkataba pili hajishauriagi yeye ni uongo tu ata nikimwambia mambo ya kujenga maisha yake anakuona kama adui yake vile
Mrudishe ulikomchukua atajiongeza mwenyewe! Maana yake unamsimanga baba yako hata kwa chakula unachompa!!
Kwani wewe uko Canada? Wewe kaa na baba yako huko Kimbiji.Mwambie mtoa mada na sio Mimi, eboo
Wewe na mzee wako mlishawahi kuishi Bongo?Ndugu yangu yeye sio criminal hapana uku canada ukiwa criminal ndo.utakuwa umepoteza maisha yake alipoteza vyeti vyake kama green card na kadi zingine nimejaribu kumshauria lakini wapi na hii sio mara yake ya kwanza anaishi ivi toka 2022 anafanyaga ukimpa tu nafasi ya kulala anasau shida zake zote ana kwasababu ana nafasi ya kulala 😪😪 ni mambo mengi ya aibu ambayo siwezi kuweka hapa