MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 8,252
- 22,031
Vizeee vyetu vya keko sio vya kuvibeba kuvipeleka mambele vitakutoa roho .Nilimchukuwa kwa nia ya kumsaidia ila dah ni vigumu mno tena sana nilitaka aje ni mtafutie kazi kwasababu nilikuwa tayari nina connexion ya kazi na baada ya hapo ni mtafutie nyumba ila mipango yote hii imekwamishwa kwasababu ya kutokuelewa kwake tu
Nilikuwa naishi hapa mambo yalikuwa ivi kikawaida yeye anafanyaga kikiwa kipindi cha baridi ndo anatafutaga sehemu ya kukaa na sehemu zote ambazo alikuwa anakaa kote alifukuzwa kwasababu ya tabia yake ya uongo tu sasa kipindi iki nikamwambia mke wangu kuwa tumkaribishe baba hapa kwasababu ili nipate kumsaidia kupata kazi na sehemu ya kulala mke wangu akubali kumpokea baba nyumbani lengo langu lilikuwa akija tu nimtafutie kazi na akiwa na kazi ni mtafutie chumba cha mda miezi 6 kuendelea ila cha hajabu sasa mtu ambaye nilimpokea ili nije kumsaidia hasaidiki hata kidogo kwanza alikuwa hana document yeyote nimejaribu kumbembeleza vipi alete document ili ni msaidie kumpata kazi ana nidanganya kuwa ana kazi na kila siku anaendaga uko ambako anaitaka kazini kwake ila ukweli ni kwamba ana shinda ndani ya station za bus tu na yote haya anafanya kwasababu moja ya tatizo lake ni kukubali kuwa ameshindwa asaidie au kukubali kuwa hana
APatiwe atakudanganya mpaka utachoka
Hapa hapa bongo ukimbeba mzee sijui uishi naye nyumbani haki nakuambia lazima avunje ndoa yako kama sio kwa kukutongozea mkeo basi ni kuwafutinisha wazee wa keko hao ..
Anyway kwa maisha ya mzee wako fanya chap umrudishe uliko mtoa kama msaada msaidie akiwa huko huko ili tatizo usiishi nalo mpaka mwakani atakuuwa huyo