Yamenikuta na mimi kwa mke wangu

Yamenikuta na mimi kwa mke wangu

andazi

Member
Joined
Jun 7, 2025
Posts
63
Reaction score
269
Katika mambo ambayo mwanzo niliyapinga sana kutoka wanaume wenzangu

Ni jambo la kusema kuwa mwanamke hawezi kuachana na Ex hasa hasa mwanaume wake wa kwanza

Nilikuwa nafikiria ni uongo na kuwazushia tu wanawake ila kama mnavyoona kutoka kwa mke wangu niliye muamini na kumthamini ndo ananifanyia hivi 😪😪😪
IMG-20251127-WA0001.jpg
 
Katika mambo ambayo mwanzo niliyapinga sana kutoka wanaume wenzangu
Ni jambo la kusema kuwa mwanamke hawezi kuachana na Ex hasa hasa mwanaume wake wa kwanza
Nilikuwa nafikiria ni uongo na kuwazushia tu wanawake ila kama mnavyoona kutoka kwa mke wangu niliye mwamini na kumthamini ndo ananifanyia hivi 😪😪😪
Pole. Tuliza akili. Ukijichanganya tu possibility ya kufia gerezani ni kubwa sana. Usifanye jambo lo lote kwa sasa. Mtumie hizo texts huyo aliyekuwa mkeo kisha ondoka hapo home. Nenda kwa rafiki yako unayemwamini sana. Au nenda nyumbani kwa wazazi kama ni karibu. Katulize akili huko na sikiliza ushauri wao. Sali. Omba.

Naamini utavuka salama. Na huyo mkeo mwache aende kwa huyo mchepuko wake anayemchosha. Usijilazimishe kukaa naye. Mtakuja kuuana.

Pole sana na Mungu Akusaidie 🙏🏿

NB: Watoto kapime DNA

IMG-20251125-WA0056.jpg
 
Nilikuwa nafikiria ni uongo na kuwazushia tu wanawake ila kama mnavyoona kutoka kwa mke wangu niliye muamini na kumthamini ndo ananifanyia hivi 😪😪😪
Kama mnakaa jirani na ex wake lazima utapigiwa kama ngoma bro
 
Katika mambo ambayo mwanzo niliyapinga sana kutoka wanaume wenzangu

Ni jambo la kusema kuwa mwanamke hawezi kuachana na Ex hasa hasa mwanaume wake wa kwanza

Nilikuwa nafikiria ni uongo na kuwazushia tu wanawake ila kama mnavyoona kutoka kwa mke wangu niliye muamini na kumthamini ndo ananifanyia hivi 😪😪😪View attachment 3508244
Unataka tukushauri nini?
 
Back
Top Bottom