Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,259
- 34,214
The best solution kwake ni either akomae na upishi au arudi Law school IMOI'd suggest usisomee kwanza driving, au kama huna shida ya cheti nicheki nitakufundisha...sema utaweka mafuta tu.
Na kuhusu leseni utapata kwa 95k
Mawazo yangu ilikua hio hela ambayo ungeitumia kwa driving ndo ungeenda kujifunza mambo ya upishi ili uweze kua well na skills nyingi za upishi.
Maana umesema kuna shughuli utakuja kuzifanya za kutumia gari, its well known kwa sasa huwezi kununua gari, ko labda utaishia tu kukodisha ambayo inakua cost nyingine zaidi plus ile hela ambayo uliendea driving inakua imeenda bure maana gari umekodisha.
Maybe kama una uwezo wa kupata gari baada ya kua umejifunza then you can go for driving.