Naomba ushauri wanaJF wenzangu....

Naomba ushauri wanaJF wenzangu....

na kuolewa je,kama ungekuwa na binti?hutaki ya mange kimambi?lol
Malimbukeni yale......naimani wanangu kwa sababu fulani fulani hawawezi kuwa malimbukeni wa wazungu japo tunaishi M.nyamala hahahahahaha!
 
Malimbukeni yale......naimani wanangu kwa sababu fulani fulani hawawezi kuwa malimbukeni wa wazungu japo tunaishi M.nyamala hahahahahaha!

wapo wazungu wanazaliwa mpaka wanakufa,toka babu na babu
hawajawahi kumiliki nyumba hata za kiwango cha mwananyamala
au kuishi nyumba za chini...watu hawajui tu..
 
Ok mkuu, kitu cha msingi km umeshakwenda church na kila mahali bac ulichobakiza ni kutafuta watu wazima unaowafahamu na kuwaamini km vile wazazi au walezi wako hlf wape hilo jukumu, naamini hayatapita masaa 48 kabla ya kupata 4 au 5 wa kuwasaili na kuamua ni yupi atakufaa. Ikishindikana hiyo kuwa PLAYER ila ukumbuke dawa ya penzi, ktk u-player wengi hukutana na wake wema, mi ni mmojawapo! Ubarikiwe
 
wapo wazungu wanazaliwa mpaka wanakufa,toka babu na babu
hawajawahi kumiliki nyumba hata za kiwango cha mwananyamala
au kuishi nyumba za chini...watu hawajui tu..
yaani.....ngoja nijinyamazie nisije kuongea ya akiba hadharani,sijui kwa nini tunakuwa wababaikaji!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom