SUKAH
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 1,794
- 2,019
Bila shaka huo mwaka mmoja alienda kusoma Postgraduate diploma ya elimu.Kuna jambo natamani nikushauri ila silielewi vzr maana nliishia la tano sijafika huko vyuoni ila mwenye kulielewa vzr atanisaidia kuweka sawabaada ya kupata degree yako unarudi tena chuo kusoma mwaka Moja mfano Kuna jamaa alisomaga animal science lkn baada ya mazingira kua magumu akarudi kusoma mwaka Moja akawa mwalimu wa biology
Sijui na-make sensekama nimevurunda niambeni nifute haraka

kama nimevurunda niambeni nifute haraka