Naomba ushauri, naenda UK


Mi nafikiri amshauri amuuze kabisa huyo captain.
 
Hivi possible reasons za Mtu kwenda UK ni zipi nauliza sababu ambazo naweza kueleza naenda kufanya nini mpaka waniruhusu kuingia kwenye nchi yao! naomba kuwasilisha.

shule
matibabu
utalii
kuhamia kabisa
kufanya kazi
kuambatana/kumfuta mke/mume/baba/mama[kwa watoto]

Ukiwa na vielelezo au viambatanishi sahihi kwa hizo sababu unaingia bila tatizo.
 
Umenikumbusha safari yangu ya kwanza miaka zaid ya 20 iliyopita. Niliambiwa nikariri kwamba KLM wanavaa nguo za blue na popote nikiwa na shida niwaulize. Bahati nzuri kizungu chao hakina tofauti sana na chetu....

Ilinisaidia sana na inaweza kumsaidia yeyote pia!
 
Mimi nilipanda na wachina na warusi hawajui hata water ila walikula na kunywa. Usijali KLM kuna wahudumu wakenya wengi tuu.
 

Asante sana mkuu wangu.
 
Wala usipate pressure ndugu,ulaya karibu yote mitaa imeanishwa vizuri sana kuanzia airport mpaka mitaani,kupotea sio rahisi kabisa.
Kitu kingine unaweza kuji familialize na unakokwenda kwa ku google,utapata mengi tu yatakayokusaidia.

Asante sana
 
Mkuu jiandae kuvutwa na wazee wa schpol pale Amsterdam..wakiona mtu anatangatanga..na ninauhakika utababaika maana ule uwanja si mchezo..hisia zao watajua umebeba mzigo..unga..ila usibabaike wakishamaliza na kukuona uko ok..yaani huna hatia watakupeleka wenyewe kwenye ndege yako wala usiwe na wasiwasi mkuu..safari njema..na karibu kwa magloble troters!
 

Haya bwana kwa hiyo nitoe wenge
 

Kumbe hiindo njia nzuri zaidi basi...
 

Nimeipenda hii Mkuu safi
 
Schophil {Amsterdam} sio airport complicated sana wewe angalia boarding pass yako inakwambia utaunganisha na ndege gani .so ukishuka na sehemu ya kukagulia kuna ratiba ya ndge juu screen yenye maandishi yanayobadirika kuonyesha jina la ndege na muda wa kutua na kuondoka hapo unaweza pia kuomba msaada kwa kuonyesha ticket yako au passing board yako utaelekezwa lango namba ngapi then utasonga mpaka hilo lango utakuta checking in nyingine utakabidhi tena utakuwa umemaliza
Kuna airport nyingine kama seattle, ya seattle,dulles ya new York hizi ziko very complicated kwa mgeni
 

Hii inatia moyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…