Naomba ushauri, naenda UK


Katika orodha ya watu ninaowakubali Ni wewe Savimbi Jr asante mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Preta nitaondokea KIA(jro) ila kwenye uchaguzi wa kumchagua lema tutakua pamoja.asante sana Preta unaepigishaga chafya ile Subaru ya blue

Teh teh.......yule sio mimi mkuu......hayo mambo nimewaachia vijana........
halafu kuwa full masnonda ukifika Manchester.......maafisa wa pale wanoko flan amaizing........wanazengua dizain........
 
Wakuu namimi niombeni ili nije kuingia Jerusalem mpya iliyoandaliwa na Bwana Yesu Kristo.
Natamani saana kuingia jiji lile.
 
Kwa hiyo kugongeana ruksa, duh!

Tena hilo linasisitizwa sana, huwezi ingia nyumbani au chumbani kwa mtu bila kumgongea mlango na kupiga hodi kwa sauti.

Wewe unapoingia kwa mama'ko humgongei?
 
Safari njema

Onyesha mtu tiketi watakuonyesha kwa vidole wapi uende

Unatuacha na joto letu, usisahau kuvaa kupambana na baridi huko.
 

Dah... kweli "mbwata-mbwata-mbwata"
 
Hivi possible reasons za Mtu kwenda UK ni zipi nauliza sababu ambazo naweza kueleza naenda kufanya nini mpaka waniruhusu kuingia kwenye nchi yao! naomba kuwasilisha.
 
mkuu wahi fasta kwa 'rasi simba' akaku brush hicho kichwa ili ukaendane sawa na wadosi, usije ukaenda waumiza kichwa kutoa maneno ambayo hata kwenye dictionary hayapo.
 
Tena hilo linasisitizwa sana, huwezi ingia nyumbani au chumbani kwa mtu bila kumgongea mlango na kupiga hodi kwa sauti.

Wewe unapoingia kwa mama'ko humgongei?
Siku hizi una sense of humor, vizuri!
 

mfano anataka makande,in english hapo inakuaje mkuu.
 
Hvi magufuli c amepiga marufuku safari za nje?
 
Daaah haya bhana mi nikifika uholanzi neno langu Ni Manchester tu


Wala usipate pressure ndugu,ulaya karibu yote mitaa imeanishwa vizuri sana kuanzia airport mpaka mitaani,kupotea sio rahisi kabisa.
Kitu kingine unaweza kuji familialize na unakokwenda kwa ku google,utapata mengi tu yatakayokusaidia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…