kazoea dudu mkuu!...kusoma itakuwa visap..na kukeri hakumuachii ng'oooHata nikushauri usome huwezi, sababu ushazoea...
Endelee tu kugawa....kazoea dudu mkuu!...kusoma itakuwa visap..na kukeri hakumuachii ng'ooo
Soma kwanza kuolewa baadaemtoto mzuri soma kwanza ukifika semister ya pili mwaka wa pili utakuwa a akili tofauti.. mshauri huyo mpenzi wako kuwa maisha si lazima shule
matusi ya nini?Sijawahi kuona mtu mjinga kama huyu. Kama wewe ni ke basi your a single mother. Na kuolewa itakuwa ndoto na kama utabahatika kuolewa basi after 2 months utaachika. So yeye hana haki kuwa na mpenzi kisa anarisiti mtihani kweli kichwa chako kipo empty kabisa
we kaka Naona nmekukwaza kweli, Ina maana wewe hujawahi kuwa na mawazo hasi ? kwa mtazamo wako binafsi?Watu kama miss changga ni wachache sana kwani wanajua thamani ya mapenzi. Big up kwa ushauri mzuri. Siyo kama "Princess ariana Empty kabisa"
Kabisa mkuuSoma kwanza kuolewa baadae
Sijui nipokee kijitiMimi ni msichana wa miaka 20 nipo Chuo Kikuu mwaka wa kwanza lakini nilitokea kuanzisha mhusiano na Mwanaume nikiwa form three. Nampenda na nimekuwa mwaminifu kwake toka nilivyoanzisha mahusiano naye.
Lakini yeye alikuwa mbele yangu kimasomo na alivyomaliza kidato cha nne hakufanikiwa kujiunga na kidato cha tano hivyo akaamua kurudia mtihani mara ya pili. Mimi nilivyomaliza kidato cha nne nilifanikiwa kujiunga na kidato cha tano hivyo nikawa nimemwacha hatua kadhaa nyuma.
Matokeo yake yalivyotoka akawa amefeli tena kwa mara ya pili lakinihakukata tamaa akarudia mtihani kwa mara ya tatu. Sasa mimi nipo Mwaka wa kwanza na yeye anasubiri matokeo ya kidato cha nne.
TATIZO NI KWAMBA NIKIMUULIZA MAISHA YETU YA MBELENI HATAKI TUZUNGUMZIE HILO na ninaona kuwa tayari kila mtu anahitji kutimiza malengo yake na mimi nataka nikimaliza chuo niolewe ila atakuwa bado anasoma.
NAOMBENI USHAURI WENU NIFANYEJE?
Mimi ni msichana wa miaka 20 nipo Chuo Kikuu mwaka wa kwanza lakini nilitokea kuanzisha mhusiano na Mwanaume nikiwa form three. Nampenda na nimekuwa mwaminifu kwake toka nilivyoanzisha mahusiano naye.