beast18
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 320
- 483
msimdiscourage kijana et ana akili za kitoto , ana mawazo mazuri tu na anafikiria mbali na thats why anataka kujua future yake, there's nothing wrong with thatbado Ana akili za kitoto,[emoji16][emoji16][emoji16]
ujadili maisha ya mbeleni na MTU anae resit mtihani wa 4m4
huwezi kuwa serious....
hivi chuo wanawa fundishaga nini? [emoji16][emoji16]
kuna haja ya walimu kuwafundisha kujitambua!
Maisha ya mbeleni wakat ndio kwanza mpo kwny balehe...soma kwanza mtt dudu lipo tu