Naomba ushauri kuhusu mpenzi niliye naye

Naomba ushauri kuhusu mpenzi niliye naye

Fujo nyingine bwana, hapo mi navyoona wewe unataka kumpiga mchini mshikaji kwa kigezo cha kumtangulia kielumu sema tu unaona noma kuwa muwazi kumueleza ukweli lakini nataka kukwambia jambo moja kutangulia siyo kufika na kusoma siyo kufanikiwa hivyo basi haya maneno yakuongoze katika maamuzi yoyote unayotarajia kuyafanya juu ya mahusiano yenu.
 
Hahhahahahahahhahahaahahhaaaaaaaa bhasi bwana huyo ni kilaza in uncle voice
 
Jamani mtoto mzuri mimi nitakuonea bure hata sikufai
Hahahaha,
Ila nitakuumiza bure maana nimelelewa na nimekulia na ninafata mifumo dume,mfumo jike kwetu haupo,ng'ombe boy,
Mtu laini kama ww hunifai,nikatae fasta
 
mtoto mzuri soma kwanza ukifika semister ya pili mwaka wa pili utakuwa a akili tofauti.. mshauri huyo mpenzi wako kuwa maisha si lazima shule
Semister ndio nini.......??
Mkuu nikufungue akili kidogo.
 
Mimi ni msichana wa miaka 20 nipo Chuo Kikuu mwaka wa kwanza lakini nilitokea kuanzisha mhusiano na Mwanaume nikiwa form three. Nampenda na nimekuwa mwaminifu kwake toka nilivyoanzisha mahusiano naye.

Lakini yeye alikuwa mbele yangu kimasomo na alivyomaliza kidato cha nne hakufanikiwa kujiunga na kidato cha tano hivyo akaamua kurudia mtihani mara ya pili. Mimi nilivyomaliza kidato cha nne nilifanikiwa kujiunga na kidato cha tano hivyo nikawa nimemwacha hatua kadhaa nyuma.

Matokeo yake yalivyotoka akawa amefeli tena kwa mara ya pili lakinihakukata tamaa akarudia mtihani kwa mara ya tatu. Sasa mimi nipo Mwaka wa kwanza na yeye anasubiri matokeo ya kidato cha nne.

TATIZO NI KWAMBA NIKIMUULIZA MAISHA YETU YA MBELENI HATAKI TUZUNGUMZIE HILO na ninaona kuwa tayari kila mtu anahitji kutimiza malengo yake na mimi nataka nikimaliza chuo niolewe ila atakuwa bado anasoma.

NAOMBENI USHAURI WENU NIFANYEJE?
Acha ujinga, kama mnapendana mnaweza oana tu, huyo jamaa anaweza pambana na kukupita kielimu kama utamtia moyo! Uko mwaka wa kwanza chuo, yeye utakapofika wa tatu atakuwa mwaka wa kwanza, na mnaweza oana wakati ww unamaliza chuo yeye atakuwa chuo na ni ruksa kuoana ukiwa chuo! Labda useme umeshahamishia penzi lako kwa mwingine na kuanza kumuona huyo jamaa kama 'liability' kwako! Inawezekana huyo jamaa akawa na mambo mengi sana mazuri ambayo ni muhimu zaidi kwenye maisha yenu ya ndoa, lakini kwa kulikuza swala la changamoto yake ya elimu, unaweza ukayapiga tena na mazuri yake yote. Maisha sio kama 1, 2, 3, 4, 5,....! Usije jutia baadae utakapokutana nae miaka ijayo akiwa ktk mazingira ambayo ungetamani uwe nae. Hayo tu!
 
Akahitimu kidato cha nne wewe ukiwa kidato cha tatu, akafeli. Akarudia mtihani wewe ukiwa kidato cha nne wewe ukafaulu kwenda Kidato cha tano yeye akafeli. Hakukata tamaa amerudi mtihani mwaka jana na sasa anasubiri matokeo. Kwa hiyo wewe umehitimu kidato cha nne mwaka juzi 2015. Halafu unatuambia umehitimu kidato cha sita na upo chuo mwaka wa kwanza. Usitudanganye dada,
Labda diploma ya kwanza yupo
Teh teh teh teh....
 
Mimi ni msichana wa miaka 20 nipo Chuo Kikuu mwaka wa kwanza lakini nilitokea kuanzisha mhusiano na Mwanaume nikiwa form three. Nampenda na nimekuwa mwaminifu kwake toka nilivyoanzisha mahusiano naye.

Lakini yeye alikuwa mbele yangu kimasomo na alivyomaliza kidato cha nne hakufanikiwa kujiunga na kidato cha tano hivyo akaamua kurudia mtihani mara ya pili. Mimi nilivyomaliza kidato cha nne nilifanikiwa kujiunga na kidato cha tano hivyo nikawa nimemwacha hatua kadhaa nyuma.

Matokeo yake yalivyotoka akawa amefeli tena kwa mara ya pili lakinihakukata tamaa akarudia mtihani kwa mara ya tatu. Sasa mimi nipo Mwaka wa kwanza na yeye anasubiri matokeo ya kidato cha nne.

TATIZO NI KWAMBA NIKIMUULIZA MAISHA YETU YA MBELENI HATAKI TUZUNGUMZIE HILO na ninaona kuwa tayari kila mtu anahitji kutimiza malengo yake na mimi nataka nikimaliza chuo niolewe ila atakuwa bado anasoma.

NAOMBENI USHAURI WENU NIFANYEJE?
Ebu jiulize wew ungekuwa umefeli mara tatu afu yeye yuko chuo, je ungemuuliza maswali kama hayo? Kama unampenda utamsubiri ila kwa kuwa umeona umeishapiga hatua ukaota kiburi basi utamdampo muda si mrefu.

Ushauri: Mvumilie mwezako kama mmetoka mbali elimu aina mwisho na si lazima afike chuo kikuu ndiyo akuoe. Wewe ndiye mtu pekee wa kumshauri mwezako pindi apatapo tatizo na si kuanza maneno yasiyo na tija.

Angalizo: leo utamdampo then kesho yeye ndiyo atakuwa msaada kwako so be careful naamini mwenzako anakupenda sana.
 
bado Ana akili za kitoto,[emoji16][emoji16][emoji16]
ujadili maisha ya mbeleni na MTU anae resit mtihani wa 4m4

huwezi kuwa serious....
hivi chuo wanawa fundishaga nini? [emoji16][emoji16]
kuna haja ya walimu kuwafundisha kujitambua!
Sijawahi kuona mtu mjinga kama huyu. Kama wewe ni ke basi your a single mother. Na kuolewa itakuwa ndoto na kama utabahatika kuolewa basi after 2 months utaachika. So yeye hana haki kuwa na mpenzi kisa anarisiti mtihani kweli kichwa chako kipo empty kabisa
 
mtoto mzuri soma kwanza ukifika semister ya pili mwaka wa pili utakuwa a akili tofauti.. mshauri huyo mpenzi wako kuwa maisha si lazima shule
Watu kama miss changga ni wachache sana kwani wanajua thamani ya mapenzi. Big up kwa ushauri mzuri. Siyo kama "Princess ariana Empty kabisa"
 
Back
Top Bottom