Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,439
Usiteme bigji kwa karanga za kuonjeshwa
Yeah kurudisha line n sawaKama yeye alishaona dalili aachane naye lakini maswala ya line za dem aachane naye tu ni kukuza ugomvi
Mbona ww inakuuma sana mtu akitoa mawazo yake sion haja ya kushambulia wengine kila mtu anatoa mawazo yakeAcha kumdanganya mwenzako...mwingine atampata wapi?
Wanawake all most wote wana maigizo, na wengi kama sio wote wanafanana tabia huwa zinatofautiana tu size ya upana na urefu![]()
kapora simu mkuu.
Kumpiga si kulipa kisasi mkuu, kumpiga n kuonesha tu kuwa umekasirishwa na kile umetendewa. Kusalitiwa hakuwezi kufananishwa na kipigo maana , kipigo n maumivu ya mwili na kusalitiwa n maumivu ya nafsi (moyo) na saikolojiaUmeshampiga tayari umelipa kisasi hivyo sameheaneni tu. Ungekua hujampiga na kupokonya simu yake hapo ningekushauri vyema. Ila kwa sasa nyote mna makosa hivyo sameheaneni
Wapi imeniuma mkuu?Mbona ww inakuuma sana mtu akitoa mawazo yake sion haja ya kushambulia wengine kila mtu anatoa mawazo yake

Anapewa yule anayeishi naye,huku kwetu ubaba Ni malezi siyo mbegu refer,Baba Abdul na NaseeUnajuwa hatari ya mwanamke kuchepuka huku akiwa na mahusiano? Mfano amepata ujauzito unadhani atapewa nan?
Mugambire oti balibabambonahi.Iwe obayoo?
Nobona baro ebya alikwekoza mununju na abakazi![]()
Hahahaaaa daaah kinyonge sana. Ila unaonaje ukigundua kuwa si mtoto wakoAnapewa yule anayeishi naye,huku kwetu ubaba Ni malezi siyo mbegu refer,Baba Abdul na Nasee
Haitakiwi ufuatilie hiyo issue,kitanda huwa hakizai haramu,kuna dhana ya uhalali wa mtoto akizaliwa ndani ya ndoa ni halali.Mtu akidai siyo halali inabidi athibitishe vinginevyo.Mtoto unalea tu haina taabu.Hahahaaaa daaah kinyonge sana. Ila unaonaje ukigundua kuwa si mtoto wako
Hahahaa! daah mkuu sina jibu ila nadhani unasema na haijakukuta, ndio maana unaona matukio mengi ya mauaji yanatokana na mahusiano (wivu wa mapenzi) ikihusisha kugundua kulea mtoto ambaye si wako huku ukiwa umedanganywa kuwa n mtoto wako) aiseee n nomaa mkuuHaitakiwi ufuatilie hiyo issue,kitanda huwa hakizai haramu,kuna dhana ya uhalali wa mtoto akizaliwa ndani ya ndoa ni halali.Mtu akidai siyo halali inabidi athibitishe vinginevyo.Mtoto unalea tu haina taabu.
Bro, kauli ya kitanda hakizai haramu , hiyo kauli inatakiwa ifutwe inapotosha jamii. Mtu unaenda kushughulikiwa na mtu ambaye hajakuoa (hawala) bila kinga na huku unafahamu kabisa upo ndani ya ndoa (mahusiano) na upo kwenye Siku za hatari za kubeba mimba harafu mtu anakwambia kitanda hakizai haramu daah mkuu sio poaHaitakiwi ufuatilie hiyo issue,kitanda huwa hakizai haramu,kuna dhana ya uhalali wa mtoto akizaliwa ndani ya ndoa ni halali.Mtu akidai siyo halali inabidi athibitishe vinginevyo.Mtoto unalea tu haina taabu.
Mbona vitu vya kawaida tu hvyoWamekumbtiana af ,msela kamshikilia kiuno
Kulalwa nje ya mahusiano ni kitu cha kawaida??kuna magonjwa mengi kwa sasa ,tusileteane matatizo ndani ya mahusiano,sio kila mwanamke anafaa kuwa mke,ww unae ona ni kawaida utapata wa type yako wanao ona ni kawaida pia kuchepuka.Mbona vitu vya kawaida tu hvyo