Tutolee ujinga wako hapa, nami akushauri sasa..nenda kaishi kwenye hiyo nyumba uliyompangiaHabari wanaJF,
Naombeni ushauri nipo na mpenz wangu tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka miwili na miezi kadhaa mpaka leo hii
Shida iko hapa tulikuwa tunaaminiana sana mimi na mpenzi wangu kumbe yeye sio mwaminifu kwangu nilihisi anatembea na mtu fulani nikamuulza
Unapiga mtu ambaye bado hujamuo
Hili nalo ni tatizoUnapiga mtu ambaye bado hujamuoa?.
Wewe unataka umgonge pekee yako, hapo umefeli mkuuHabari wanaJF,
Naombeni ushauri nipo na mpenzi wangu tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka miwili na miezi kadhaa mpaka leo hii
Shida iko hapa tulikuwa tunaaminiana sana mimi na mpenzi wangu kumbe yeye sio mwaminifu kwangu nilihisi anatembea na mtu fulani nikamuulza alibisha mimi nikaendelea na uchunguzi wangu mpaka nikaamua kumpangia chumba sehemu ili taaratibu maandalizi yaendelee ili baadaye nimuoe, na hakuna kitu amewahi kosa kwangu kula, kuvaa, kila kitu kama kumpelekea moto nimepeleka saana.
Kisa kinaanzia hapa siku ya jana huyo jamaaa niliyekuwa nahisi kuwa anatembea naye alinifuata kanieleza kila kitu... akanionesha na picha walizopiga pamoja.
Akanipa ushauri kuwa huyu mwanamke ukija kuoa umepotea maana ana mambo ya ajabu sana na mimi nishamuacha baada ya kuona hasomeki.
Mimi nilipatwa na hasira sana jana usiku nikamfuata anakoishi nikamuuliza lakini alibisha tena kuwa hajawahi kuwa na mahusiano na huyo mwanaume.
Nikatoa ushahidi wa picha akanambia alimuomba tu wapige picha lakini hakuna mahusinao baina yao na picha wamekaa mikao mibaya sana.
Basi nikamshushia kipigo cha mbwa mwizi halafu nikampola laini aliyokuwa anahifadhia hela zake.
Kwa sasa kinachoendelea anaomba nimpe laini yake atoe hela halafu aondoke na mimi nataka nitoe hela yangu ambayo nilitoa kodi pale maana yeye ndio aliomba nimpangie nikalipa na kodi sasa hivi nataka nikatoe hela yangu zitakazobaki nimpe maana amesemea anataka kuondoka.
Naombeni ushauri maana hata wazazi wake wanajua kuwa nipo nae japo nilikuwa bado sijajitambulisha.
Unajuwa hatari ya mwanamke kuchepuka huku akiwa na mahusiano? Mfano amepata ujauzito unadhani atapewa nan?Ungemrudishia line yake na mambo ya pesa achana nayo.Kaa ,muombe msamaa akusamehe yaishe.Kwanini ulikuwa unampeleleza? Wewe unataka umgonge peke yake ulimuumba? Mambo ya kuchunguzana yalishapitwa na wakati.Haina shombo hiyo kitu.
😂😂Chuma yake.Unajuwa hatari ya mwanamke kuchepuka huku akiwa na mahusiano? Mfano amepata ujauzito unadhani atapewa nan?
Unampamgiaje maraya huyo??Si umempangia kijichi mkuu,wahuni sio watu wazuri🙄Habari wanaJF,
Naombeni ushauri nipo na mpenzi wangu tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka miwili na miezi kadhaa mpaka leo hii
Shida iko hapa tulikuwa tunaaminiana sana mimi na mpenzi wangu kumbe yeye sio mwaminifu kwangu nilihisi anatembea na mtu fulani nikamuulza alibisha mimi nikaendelea na uchunguzi wangu mpaka nikaamua kumpangia chumba sehemu ili taaratibu maandalizi yaendelee ili baadaye nimuoe, na hakuna kitu amewahi kosa kwangu kula, kuvaa, kila kitu kama kumpelekea moto nimepeleka saana.
Kisa kinaanzia hapa siku ya jana huyo jamaaa niliyekuwa nahisi kuwa anatembea naye alinifuata kanieleza kila kitu... akanionesha na picha walizopiga pamoja.
Akanipa ushauri kuwa huyu mwanamke ukija kuoa umepotea maana ana mambo ya ajabu sana na mimi nishamuacha baada ya kuona hasomeki.
Mimi nilipatwa na hasira sana jana usiku nikamfuata anakoishi nikamuuliza lakini alibisha tena kuwa hajawahi kuwa na mahusiano na huyo mwanaume.
Nikatoa ushahidi wa picha akanambia alimuomba tu wapige picha lakini hakuna mahusinao baina yao na picha wamekaa mikao mibaya sana.
Basi nikamshushia kipigo cha mbwa mwizi halafu nikampola laini aliyokuwa anahifadhia hela zake.
Kwa sasa kinachoendelea anaomba nimpe laini yake atoe hela halafu aondoke na mimi nataka nitoe hela yangu ambayo nilitoa kodi pale maana yeye ndio aliomba nimpangie nikalipa na kodi sasa hivi nataka nikatoe hela yangu zitakazobaki nimpe maana amesemea anataka kuondoka.
Naombeni ushauri maana hata wazazi wake wanajua kuwa nipo nae japo nilikuwa bado sijajitambulisha.
Huyo bado anakupenda, usimpige chini, maana bora kichaa uliyemzoea kuliko mpyaNimefanya hivyo anaonesha kukosa raha na kujutia maana alizani sitajua