witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,749
Kwann unapiga mtu mzima mwenzako kwasabb kaamua kubadilosha ladha kwa kumpa tamu yake mtu mwingine?
Wewe unaweza kula pilau kila siku??



Kwann unapiga mtu mzima mwenzako kwasabb kaamua kubadilosha ladha kwa kumpa tamu yake mtu mwingine?
Wewe unaweza kula pilau kila siku??



Iwe obayoo?Kaaaazi kweli kweli!!!



kafanya ujambazi gani?mkuu tafuta hela uache ujambazi.
Acha kumdanganya mwenzako...mwingine atampata wapi?Muogope sana mwanamke mwongo. Utakuja ufe kabla ya wakati wako,
Utajuta siku zote za maisha yako,
Anawadanganya wengi hajaanza kwako,
Ushauri wangu, Achana naye. Penye fake basi Original ipo, endelea kutafuta wala usichoke utampata tu.

Heeheehee.....acha fixBro, mwanamke hata umkamate macho kwa macho bado hakubali na haijawahi kutokea mwanamke kukubali kirahisi, inshu ya msingi n kuangalia moyo wako kama unaweza kuvumilia kama huwezi piga chini angalia mwanamke ambaye utaweza kumvumilia. Binafsi naweza kumvumilia mwanamke yeyote yule isipokuwa mchawi, mwizi,Malaya na muongo hao kwangu siwezi wavumilia



Kwahyo unataka kuniambia , ww unakasoro moja wapo kati ya nilizozitaja hapo juu?Heeheehee.....acha fix
Hakuna binadamu ambae hana kasoro mojawapo
NdioKwahyo unataka kuniambia , ww unakasoro moja wapo kati ya nilizozitaja hapo juu?
Hahahaaa daaah zote nilizozitaja hapo zinatisha hata moja kukutwa nayo mwanamke. Itoshe kusema tu binafs siwezi kuoa mwanamke wa aina yakoNdio
Sawa mkuu, nami sihitaji kuolewa na mwanaume aina yakoHahahaaa daaah zote nilizozitaja hapo zinatisha hata moja kukutwa nayo mwanamke. Itoshe kusema tu binafs siwezi kuoa mwanamke wa aina yako


Hahahaa n kama jokes Fulani hivi lakini , huo ndio ukweli boss.Sawa mkuu, nami sihitaji kuolewa naww![]()
We bro , umeoa au unamahusiano yaliyo serious?Mpe line zake na mwachie hiyo hela ,usilipize wema kwa ubaya ,baada ya hapo sikilizia kama atakutafuta na kuomba samahani na mengine ndo uangalie cha kufanya ,maana inawezekana pia huyo jamaa anamtaka akaamua kutumia mbinu hiyo kuwafarakanisha
Mi nina mahusiano yaliyoserious but hizo picha bado siyo ushahidi wa kutosha ,kuhusu suala la hela mi nikitoa huwa siwazii tenaWe bro , umeoa au unamahusiano yaliyo serious?
Mi nahitajiSawa mkuu, nami sihitaji kuolewa na mwanaume aina yako![]()
Bro ,kumbuka jamaa ameeleza kuwa mwanzo alianza kwa kuhisi , (mapenzi baina ya mtu na mtu hayafichiki) baada ya kuhisi alimuuliza ukweli lakn mwanamke alikataa (hii n kawaida kwa mwanamke) , akampa uhuru zaidi wa kumpangia chumba mwanamke peke yake (hii n mbaya zaidi) baadae huyo jamaa aliyekuwa anashukiwa akaja kuproove mwenyewe (hapa mungu aliokoa ) na kuonesha usahihi wa kile alikizungumza akaonesha picha ambazo kwa jinsi zilionesha n wazi wanamahusianoMi nina mahusiano yaliyoserious but hizo picha bado siyo ushahidi wa kutosha ,kuhusu suala la hela mi nikitoa huwa siwazii tena
Nimekutafakari mkuu kumbe wanyumbani kabisaIwe obayoo?
Nobona baro ebya alikwekoza mununju na abakazi![]()
MazaNimekutafakari mkuu kumbe wanyumbani kabisa
Kama yeye alishaona dalili aachane naye lakini maswala ya line za dem aachane naye tu ni kukuza ugomviBro ,kumbuka jamaa ameeleza kuwa mwanzo alianza kwa kuhisi , (mapenzi baina ya mtu na mtu hayafichiki) baada ya kuhisi alimuuliza ukweli lakn mwanamke alikataa (hii n kawaida kwa mwanamke) , akampa uhuru zaidi wa kumpangia chumba mwanamke peke yake (hii n mbaya zaidi) baadae huyo jamaa aliyekuwa anashukiwa akaja kuproove mwenyewe (hapa mungu aliokoa ) na kuonesha usahihi wa kile alikizungumza akaonesha picha ambazo kwa jinsi zilionesha n wazi wanamahusiano