Naomba ushauri kuhusu mahusiano yangu

Huyo ni malaya na udangaji hawezi kuacha wewe umempangia nyumba na huduma nyingine unatoa. Kwa kifupi anakuoana wewe ni zoba ya haujitambuwi ndio maana anakucheat na kufanya umalaya waziwazi.

Na kqaakili zako mtu anakuonyesha hadi ushahidi kuwa anatembea nae lakini wewe bado unataka mtuhumiwa mwenyeqe ndio akiri ili iweje??

Hizo sign zote huzioni mzee au unataka mpaka usababishiwe matatizo kwa huyo mwanamke ndio akili ikukae sawa ??
Acha utoto bana!!!!!!

Hakuna faida yoyote utakayoambulia kwa kuendelea kuzini na huyo demu unayemuaona kma mke..
sanasana tegemea kuathirika kiuchumi na kiafya!!

Focus kwenye maendeleo yako binafsi kuwa bora zaido ya jana saka pesa.. jipende wewe kwanza ji value .. harafu uje ufungue uzi hapa utoe ushuhudi jinsi maduu wanavyoshoboka....

Vinginevyo itakuwa mtu wa kulia lia "mapenzi fake" na kuacha kufanya vitu vya msingi kwenye maisha yako !
 
Nimefanya hivyo anaonesha kukosa raha na kujutia maana alizani sitajua
Hajuitiii mahusiano yako , anajutia free kodi ya nyumba na gharama zingine kama unabisha muache wiki , chunguza nyendo zake ndio utajuwa haukuwa na mwanamke bali mdangaji ...sorry na maanisha malxya wakujiuza
 
Hawa wanawake wa siku hizi bana hawaeleweki wanachotaka ni nini. Ukimpenda atakuletea visanga, usipo care ataleta visanga hawaeleweki hawa pimbi. Pole sana najua utaumia sana lakini ukishamjua mtu asikusumbue.

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Pole mkuu katika akili yangu nakushaur kaa muongee naye mwite kwa upole muulize kwa upole then usikie anasemaje kama haonyeshi kujutia kosa lake achana naye
Hivi mkuu ushwahi kuwa kwenye mausiano kweli?? Weww ni me au Ke??

How come mwanaume unayejitambuwa umshasalitiwa then ujipeleke kwa bit.ch aliyekusaliti eti umuite kwa upole muyamalize...

Dude wtf is this ?

Mtu yoyotw anaye cheat na mwenye roho ya kucheat hujutia kwa muda tu, baadae huendelea, hasa kama sababu za kucheat ni kukosa connection au upendo wa dhati kutoka kwako!!!
 
1. Nadhan miaka nayo inachangia.
Mna umri gan?.

2. Kuna wanawake hawajielewi.

3. Kuna wanaume pia hawajielewi.

Pamoja na kusikia story yako, ya upande mmoja. Na imeonyesha mdada ana makosa, ila pengine hujampa uhakika huyo mdada kuwa utamuoa(kumpangishia sio ishu sana kama matendo hayaendan na dhima ya kuoa).

4.Umempangia huyo mdada alaf hukukaa nae ndan. Changamoto gan ilikufanya usiwe nae?..

Anyway

Kila mtu ashinde mechi zake.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Yaani akienda polisi mkuu nakuhurumia. Muwahu muyajenge mumalizane kila mru aemse njia yake. Una bahati sana ni mpole huyo.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mkuu acha kutetea mdangaji kwa kumuita "mpole" mpole gani ana cheat , mwongo na hataki kukiri kosa?

labda kama unazungumzia yeye kumpiga huyo mdangaji siàjelewa alikuwa anampiga hili iweje au anampiga kwa misingi gani huo ni moja ya upumbavu mkubwa sana alioufanya
Mdangaji kakutana na kijana asiye na buasara"
 
Habari wanaJF,

Naombeni ushauri nipo na mpenzi wangu tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka miwili na miezi kadhaa mpaka leo hii

Shida iko hapa tulikuwa tunaaminiana sana mimi na mpenzi wangu kumbe yeye sio mwaminifu kwangu nilihisi anatembea na mtu fulani nikamuulza alibisha mimi nikaendelea na uchunguzi wangu mpaka nikaamua kumpangia chumba sehemu ili taaratibu maandalizi yaendelee ili baadaye nimuoe, na hakuna kitu amewahi kosa kwangu kula, kuvaa, kila kitu kama kumpelekea moto nimepeleka saana.

Kisa kinaanzia hapa siku ya jana huyo jamaaa niliyekuwa nahisi kuwa anatembea naye alinifuata kanieleza kila kitu... akanionesha na picha walizopiga pamoja.

Akanipa ushauri kuwa huyu mwanamke ukija kuoa umepotea maana ana mambo ya ajabu sana na mimi nishamuacha baada ya kuona hasomeki.

Mimi nilipatwa na hasira sana jana usiku nikamfuata anakoishi nikamuuliza lakini alibisha tena kuwa hajawahi kuwa na mahusiano na huyo mwanaume.

Nikatoa ushahidi wa picha akanambia alimuomba tu wapige picha lakini hakuna mahusinao baina yao na picha wamekaa mikao mibaya sana.

Basi nikamshushia kipigo cha mbwa mwizi halafu nikampola laini aliyokuwa anahifadhia hela zake.

Kwa sasa kinachoendelea anaomba nimpe laini yake atoe hela halafu aondoke na mimi nataka nitoe hela yangu ambayo nilitoa kodi pale maana yeye ndio aliomba nimpangie nikalipa na kodi sasa hivi nataka nikatoe hela yangu zitakazobaki nimpe maana amesemea anataka kuondoka.

Naombeni ushauri maana hata wazazi wake wanajua kuwa nipo nae japo nilikuwa bado sijajitambulisha.
Akienda polisi utafunguliwa kesi ambayo hujawahi kuiona.

1. Kwanza umepiga mtu.

2. Pili umeiba simu ya mtu

3. Tatu umehatarisha amani katika jamii.

NB: pamoja na mahusiano jitahidini kutumia akili.
 
Mwanamke malaya ni mbaya mno,kaa chini umkanye akikiri kuwa alifanya hayo msamehe ,ila akiendelea kukataa mpe mda na uendelee kumchunguza,ila tabia za kimalaya huwa hazikomi,kama ana tabia hiyo utamnasa tu tena .ila navyohisi atakuwa na tabia za kichepukaji hata akiolewa,na ndio tabia za wanawake walio wengi.
Huyu siyo mchepukaji . Huyu ni muuzaji .. baadhi ya wanawake wengi wanaishi kwa kujiuza na sio lazima wasimame barabarani
 
Mkuu awamu hii unampiga mwanamke?

Kama umethibitisha hakuwa mwaminifu yanini kufikia huko?
Ilihitajika maamuzi tu, kusuka au kunyoa.

Pole sana...
 
Habari wanaJF,

Naombeni ushauri nipo na mpenzi wangu tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka miwili na miezi kadhaa mpaka leo hii

Shida iko hapa tulikuwa tunaaminiana sana mimi na mpenzi wangu kumbe yeye sio mwaminifu kwangu nilihisi anatembea na mtu fulani nikamuulza alibisha mimi nikaendelea na uchunguzi wangu mpaka nikaamua kumpangia chumba sehemu ili taaratibu maandalizi yaendelee ili baadaye nimuoe, na hakuna kitu amewahi kosa kwangu kula, kuvaa, kila kitu kama kumpelekea moto nimepeleka saana.

Kisa kinaanzia hapa siku ya jana huyo jamaaa niliyekuwa nahisi kuwa anatembea naye alinifuata kanieleza kila kitu... akanionesha na picha walizopiga pamoja.

Akanipa ushauri kuwa huyu mwanamke ukija kuoa umepotea maana ana mambo ya ajabu sana na mimi nishamuacha baada ya kuona hasomeki.

Mimi nilipatwa na hasira sana jana usiku nikamfuata anakoishi nikamuuliza lakini alibisha tena kuwa hajawahi kuwa na mahusiano na huyo mwanaume.

Nikatoa ushahidi wa picha akanambia alimuomba tu wapige picha lakini hakuna mahusinao baina yao na picha wamekaa mikao mibaya sana.

Basi nikamshushia kipigo cha mbwa mwizi halafu nikampola laini aliyokuwa anahifadhia hela zake.

Kwa sasa kinachoendelea anaomba nimpe laini yake atoe hela halafu aondoke na mimi nataka nitoe hela yangu ambayo nilitoa kodi pale maana yeye ndio aliomba nimpangie nikalipa na kodi sasa hivi nataka nikatoe hela yangu zitakazobaki nimpe maana amesemea anataka kuondoka.

Naombeni ushauri maana hata wazazi wake wanajua kuwa nipo nae japo nilikuwa bado sijajitambulisha.
Vijana bwana hizi mbususu mbona zinawapa tabu? Wee gegeda sepa zako unataka kuweka kambi ya nini tena.
 
Acha uxengee we jamaa ...utampigaje demu ambae hujamuoa?

Huyo yuko freee kwa mwanaume yeyote anayevutiwa nae, eboo
Tuliza nyege na ww.. mm nikiona demu wa msela anamegwa naona kama namegewa mimi. Ndo maana had leo sina demu ni mwendo wa kupiga yeyote anae jilengesha
 
Habari wanaJF,

Naombeni ushauri nipo na mpenzi wangu tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka miwili na miezi kadhaa mpaka leo hii

Shida iko hapa tulikuwa tunaaminiana sana mimi na mpenzi wangu kumbe yeye sio mwaminifu kwangu nilihisi anatembea na mtu fulani nikamuulza alibisha mimi nikaendelea na uchunguzi wangu mpaka nikaamua kumpangia chumba sehemu ili taaratibu maandalizi yaendelee ili baadaye nimuoe, na hakuna kitu amewahi kosa kwangu kula, kuvaa, kila kitu kama kumpelekea moto nimepeleka saana.

Kisa kinaanzia hapa siku ya jana huyo jamaaa niliyekuwa nahisi kuwa anatembea naye alinifuata kanieleza kila kitu... akanionesha na picha walizopiga pamoja.

Akanipa ushauri kuwa huyu mwanamke ukija kuoa umepotea maana ana mambo ya ajabu sana na mimi nishamuacha baada ya kuona hasomeki.

Mimi nilipatwa na hasira sana jana usiku nikamfuata anakoishi nikamuuliza lakini alibisha tena kuwa hajawahi kuwa na mahusiano na huyo mwanaume.

Nikatoa ushahidi wa picha akanambia alimuomba tu wapige picha lakini hakuna mahusinao baina yao na picha wamekaa mikao mibaya sana.

Basi nikamshushia kipigo cha mbwa mwizi halafu nikampola laini aliyokuwa anahifadhia hela zake.

Kwa sasa kinachoendelea anaomba nimpe laini yake atoe hela halafu aondoke na mimi nataka nitoe hela yangu ambayo nilitoa kodi pale maana yeye ndio aliomba nimpangie nikalipa na kodi sasa hivi nataka nikatoe hela yangu zitakazobaki nimpe maana amesemea anataka kuondoka.

Naombeni ushauri maana hata wazazi wake wanajua kuwa nipo nae japo nilikuwa bado sijajitambulisha.
Bro ulichofanya sio jema.wanaume wenzio hatufanyi hivyo,mrudishie laini yake,muage kwa amani na furaha,kumbuka kuna kesho bro

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ulipaswa kuchukua cm ya msela na kuchati naye yeye angejua abachati na msela, Ampe maneno romantic wanayopeanaga, Sana Sana usikie mwitikio wake harafu baadaye ungemjulisha Kwa cm YAKO uko mbali . Jamaa amtege aje . Ungemdaka vzr sana lkn ulionnekana kuchanganyikiwa KBS

Ukaishia Mipasho Tu
 
Habari wanaJF,

Naombeni ushauri nipo na mpenzi wangu tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka miwili na miezi kadhaa mpaka leo hii

Shida iko hapa tulikuwa tunaaminiana sana mimi na mpenzi wangu kumbe yeye sio mwaminifu kwangu nilihisi anatembea na mtu fulani nikamuulza alibisha mimi nikaendelea na uchunguzi wangu mpaka nikaamua kumpangia chumba sehemu ili taaratibu maandalizi yaendelee ili baadaye nimuoe, na hakuna kitu amewahi kosa kwangu kula, kuvaa, kila kitu kama kumpelekea moto nimepeleka saana.

Kisa kinaanzia hapa siku ya jana huyo jamaaa niliyekuwa nahisi kuwa anatembea naye alinifuata kanieleza kila kitu... akanionesha na picha walizopiga pamoja.

Akanipa ushauri kuwa huyu mwanamke ukija kuoa umepotea maana ana mambo ya ajabu sana na mimi nishamuacha baada ya kuona hasomeki.

Mimi nilipatwa na hasira sana jana usiku nikamfuata anakoishi nikamuuliza lakini alibisha tena kuwa hajawahi kuwa na mahusiano na huyo mwanaume.

Nikatoa ushahidi wa picha akanambia alimuomba tu wapige picha lakini hakuna mahusinao baina yao na picha wamekaa mikao mibaya sana.

Basi nikamshushia kipigo cha mbwa mwizi halafu nikampola laini aliyokuwa anahifadhia hela zake.

Kwa sasa kinachoendelea anaomba nimpe laini yake atoe hela halafu aondoke na mimi nataka nitoe hela yangu ambayo nilitoa kodi pale maana yeye ndio aliomba nimpangie nikalipa na kodi sasa hivi nataka nikatoe hela yangu zitakazobaki nimpe maana amesemea anataka kuondoka.

Naombeni ushauri maana hata wazazi wake wanajua kuwa nipo nae japo nilikuwa bado sijajitambulisha.
Baadae watarudiana na jamaa itakuuma sana.

Kuna uwezekano mkubwa demu kagundua kuwa hakutendei haki kwa upendo aliokuwa nao kwako kamtema jamaa. Ila jamaa kwa miwivu kaamua mkose wote.

Ni wewe kuamua kuwa nae maana inaonekana unampenda
 
Back
Top Bottom