shukrani sana kwa mchango wako,mala zote naotaga watu wanalia na kuomboleza huku mi nikiwa nipo kwenye jeneza au mala nyingne kitandani .Unaota umekufa, elezea mazingira kuna wengine wanaota wameufa wapo kaburini wamefukiwa, mwingine anaota nafsi ipo pembeni inahuzunika ikijiangalia watu wanavyoomboleza kwenye jeneza. Mwingine anaota yupo kwenye jeneza anasikia watu.
Ina maana umekufa. Mhesabu dhambi zako ameshafunga hesabu.Nimeota zaidi ya Mala tano kwamba nimekufa,hii ndoto inanipa mawazo sana naomba ushauri wenu,je ina maana gani?@mshana
Wakati nasoma comment yako, mbele yangu namuona anakatiza Pascal Mayalla. Ngoja nimuoneshe huu uzi ili na yeye aseme kitu.Kwa hiyo usipoota una mahela kibao hua unaamka ukiwa na pesa?
So,hiyo ndoto ndio hua inazipoteza hizo hela zako na ukiamka unakua huzikuti?
mkuu kwenye aina ya ndoto yangu hii nakuwa nipo kwenye jeneza na kunakuwa na watu wanaomboleza na kulia hii imetokea mala tano.Hauwezi kuota umekufa. Hata katika kukimbizwa huwezi kukamata utahisi miguu mizito ila hukamatwi ikitokea kukamatwa hapo hapo unaamka.
Katika ndoto wewe unakuwa star wa movie
shukran!Mkuu kwa mchango wako.Ndugu unajua kutafsiri ndoto sio kila mtu anaweza na pia ni mojawapo ya karama kubwa sana, na hata kuota tu yenyewe. Jambo mfano unaloota mtu anaweza kudhania linaweza kua na mana ya Moja kwa Moja kumbe sivyo ni ujumbe mwingine unawasilishwa. Ningekufafanulia ila sio hadharani hapa. Na pia usipende kusema ndoto zako ovyo ovyo kama hivi kwenye mitandao. Ukijitambua zaidi utakuja kufahamu sababu kwanini NIMEKUAMBIA hivyo.
Gentleman,Nimeota zaidi ya Mala tano kwamba nimekufa,hii ndoto inanipa mawazo sana naomba ushauri wenu,je ina maana gani?@mshana
Umenionea wapi nikikatiza mitaa ya wapi?.Wakati nasoma comment yako, mbele yangu namuona anakatiza Pascal Mayalla. Ngoja nimuoneshe huu uzi ili na yeye aseme kitu.
Ndua grounds.Umenionea wapi nikikatiza mitaa ya wapi?.
P
Duh...!, watu tunateseka na baridi ya huku, hakuna mablangeti ya maana , kumbe kuna jf members mmekula kobiz!. Jf ya enzi zile, ningeisha kuwa well taken care off kwa mahitaji yote!.Ndua grounds.
Ok sijajua imani yako, but kwa imani yangu, ndoto ukiiota mara kwa mara kwanza huo ni msisitizo na jambo lipo mbioni kutimia. Kwa ndoto hiyo mara nyingi huwa ni kufa kwa ufahamu juu ya jambo kubwa unalotaka kulifanyia maamuzi. Aidha lipo katika mpango tayari, au halijajulikana bado.shukrani sana kwa mchango wako,mala zote naotaga watu wanalia na kuomboleza huku mi nikiwa nipo kwenye jeneza au mala nyingne kitandani .
Njoo inboxNimeota zaidi ya Mala tano kwamba nimekufa,hii ndoto inanipa mawazo sana naomba ushauri wenu,je ina maana gani?@mshana
Mkuu Asante Kwa Wito huu....!Pole sana mkuu, Usiogope...
Lakini pia tengeneza mambo yako vyema, na MUNGU wako!
Cc... Powder Mwl Mwakujonga
Mkuu kwanza usiogope, usione vile umeota Ndoto Kwamba umekufa mara 5 basi ukaona Kifo chako kimekaribia...! Kuona unakufa kwenye ndoto hakuna uhusiano na kufa kwako kimwili.Nimeota zaidi ya Mala tano kwamba nimekufa,hii ndoto inanipa mawazo sana naomba ushauri wenu,je ina maana gani?@mshana