Simple sana hiyo debate lazima kulikuwa na nafasi ya huyo mzungu ku respond , weka hapa kipisi kilichokatwa
nasubiria
Unatafuta par kukimbilia hupati hicho unachokitafuta ni shubiri zaidi ona mwenyewe ukristo unavyotumiwa kuwadanganya
Nakuwekea unachokitafuta