Naomba ushauri kuhusu dini

Naomba ushauri kuhusu dini

Huu ujinga sana , Yani unauliza swali alafu kumbe unamajibu mfukoni
Ndio , maana hujibu unababaisha Tu unafikiri sisi hatuelewi haya mambo? Ungalijibu wala usingalijibu hivi unavyojibu kukimbia kimbia Tu .Kama vile hiyo Google unayo wewe tu
 
Ndio , maana hujibu unababaisha Tu unafikiri sisi hatuelewi haya mambo? Ungalijibu wala usingalijibu hivi unavyojibu kukimbia kimbia Tu .Kama vile hiyo Google unayo wewe tu
Huo uelewa wako ungeuweka , ndio tuujadili
 
Huu ujinga sana , Yani unauliza swali alafu kumbe unamajibu mfukoni

Hiyo Biblia ya KJV haikuanza wakati wa Yesu kama unavyotaka kutulisha matango pori , umeandika mwa 1611.

Kazi ya Kutafsiri Yapamba Moto

Kufikia katikati ya karne ya 16, watu barani Ulaya walianza kutamani kuelewa mafundisho ya Biblia. Karne mbili hivi mapema, katika mwaka wa 1382, John Wycliffe alikuwa amechochea hamu ya watu ya kusoma Biblia katika lugha yao wenyewe alipotafsiri Biblia katika Kiingereza kutoka Kilatini.

Karne mbili zilizofuata, wafuasi wake walioitwa Lollards walisambaza nchini kote maandiko ya Biblia yaliyoandikwa kwa mkono.

Hatua nyingine kubwa ilikuwa kutokezwa kwa tafsiri ya New Testament ya msomi wa Biblia,

William Tyndale. Ilitafsiriwa katika Kiingereza kutoka Kigiriki cha awali kufikia mwaka wa 1525. Muda mfupi baadaye, katika mwaka wa 1535, Miles Coverdale alitokeza Biblia nzima katika Kiingereza. Mwaka mmoja kabla ya hapo, Mfalme Henry wa Nane alijitenga na Kanisa Katoliki na akachukua hatua muhimu. Ili kuimarisha cheo chake akiwa kiongozi wa Kanisa la Anglikana,

Henry wa Nane aliamuru Biblia itafsiriwe katika Kiingereza. Biblia hiyo ikaja kuitwa Great Bible (Biblia Kuu).

Biblia hiyo iliyochapishwa mwaka wa 1539 ilikuwa buku kubwa lililoandikwa kwa herufi nzito za Kigothi.

Wapuriti na Waprotestanti wengine waliokuwa wakimbizi kutoka Ulaya walihamia Geneva, Uswisi.

Katika mwaka wa 1560, Geneva Bible (Biblia ya Geneva), Biblia ya kwanza katika Kiingereza iliyokuwa na maandishi rahisi kusoma na ambayo sura zake zilikuwa zimegawanywa katika mistari ilitolewa. Ilitumwa Uingereza kutoka bara Ulaya na ikawa maarufu haraka sana.

Hatimaye, mnamo 1576, Geneva Bible ilichapishwa pia nchini Uingereza. Ramani na maelezo ya pambizoni yalimsaidia mtu kuelewa Maandiko. Lakini maelezo hayo yaliwaudhi baadhi ya wasomaji kwa sababu yalimpinga Papa.
 
Huu ujinga sana , Yani unauliza swali alafu kumbe unamajibu mfukoni

Kwa kuwa Great Bible haikupendwa na watu wengi na Geneva Bible ilikuwa na maelezo ya pambizoni yaliyotokeza ubishi, iliamuliwa kwamba Biblia iliyosahihishwa itokezwe.

Tafsiri ya Great Bible ilichaguliwa iwe msingi wa kutafsiri Biblia hiyo. Kazi hiyo ilipewa maaskofu wa Kanisa la Anglikana, na katika mwaka wa 1568 tafsiri ya Bishops’ Bible (Biblia ya Maaskofu) ilichapishwa.

Ilikuwa buku kubwa lililojaa picha nyingi. Lakini wafuasi wa Calvin waliochukizwa na majina ya kidini ya cheo hawakupenda matumizi ya neno “bishops” (maaskofu). Kwa sababu hiyo tafsiri ya Bishops’ Bible haikupendwa sana na watu nchini Uingereza.

Baada ya Mfalme James wa Kwanza kutawazwa kuwa mfalme wa Uingereza mwaka wa 1603,* aliidhinisha kwamba Biblia nyingine itafsiriwe. Alisema kwamba ili Biblia hiyo isiwaudhi watu, watafsiri walipaswa kuondoa maelezo yoyote yenye kuudhi.

Mfalme James aliutegemeza mradi huo. Mwishowe, wasomi 47 katika vikundi sita vilivyokuwa sehemu mbalimbali nchini humo walitayarisha baadhi ya maandishi yake. Wakitumia tafsiri ya Tyndale na Coverdale, wasomi hao wa Biblia walisahihisha tafsiri ya Bishops’ Bible.

Hata hivyo, walitumia pia tafsiri ya Geneva Bible na tafsiri ya Kikatoliki ya Rheims New Testament ya mwaka wa 1582.

James mwenyewe alikuwa msomi wa Biblia aliyeheshimiwa, na kwa sababu ya mchango wake, tafsiri hiyo ilisemekana kuwa imetolewa kwa heshima ya “James, mkuu aliye na cheo cha juu zaidi na mwenye nguvu.” Akiwa kiongozi wa Kanisa la Anglikana, James alionwa kuwa anatumia mamlaka yake ili kuliunganisha taifa.
 
Ipo original language na translation zaidi ya 20 , imeanza NIV mpaka OJB

KJV -The King James Version, -is an English translation of the Christian Bible for the Church of England, 1611
Jagina Hapa ndio nilikwambia ilianza kipindi cha Yesu, punguza upumbavu
 
Jagina Hapa ndio nilikwambia ilianza kipindi cha Yesu, punguza upumbavu
ULIANDIKA

Ficha upumbavu wako mbele za watu , biblia kwa lugha yake ya mwanzo ipo kama unataka link nakupa usome

MAJIBU

HIYO LINK ina biblia nyingi nimeanza na King james tu unasema eti lugha yake ya asili ipo kwenye link

By the way nasubiri majibu ya uongo wa Ahmed Deetat kwenye ile clip
 
Wewe ni mkristo na hapo inaonyesha upo Kazini kutafuta wafuasi.Pole Tafuta mbinu nyingine
 
Biblia lugha yake ya asili ni ipi?

Viongozi wa kidini walifurahi kupokea kutoka kwa mfalme wao, Biblia “ambayo iliwekwa rasmi isomwe Makanisani.”

Hata hivyo, swali lililobaki ni, Je, taifa hilo litaikubali tafsiri hiyo mpya ya Biblia?

Kwenye dibaji yao ndefu ya awali, watafsiri wa Biblia hiyo waliandika kuhusu wasiwasi wao ikiwa tafsiri hiyo mpya ingekubaliwa.

Hata hivyo, Biblia ya King James Version ilikubaliwa na wengi, hata ingawa ilichukua miaka 30 hivi ili watu waanze kupendelea kuisoma badala ya kusoma Geneva Bible.

Kulingana na kitabu The Bible and the Anglo-Saxon People, Biblia ya King James Version ilikuja kuonwa kuwa ndiyo Tafsiri Rasmi (Authorized Version), na ikaja kukubaliwa kwa sababu ya ubora wake.

Kitabu The Cambridge History of the Bible kilifikia mkataa huu: “Maandishi yake yalionwa kuwa matakatifu kana kwamba yanatoka kwa Mungu moja kwa moja; kwa Wakristo wengi wanaozungumza Kiingereza, ilionekana kwamba kuchambua maandishi ya King James Version ni sawa na kukufuru.”
 
By the way nasubiri majibu ya uongo wa Ahmed Deetat kwenye ile clip
Link nimekuwekea ingia kasome biblia lugha ya mwanzo na translation zaidi ya ishirini na nyiongeza translation ya neno kwa neno

Deetat hiyo hapo sio dabete maana hakuna mpaka mwisho hakuna sehemu ya mwenzake kajibu yeye kaongea tu mwenyewe akakata majibu,
 
Wewe jamaa ujinga wako hauna kikomo yani unaenda kuchukua nukuu JW
 
Link nimekuwekea ingia kasome biblia lugha ya mwanzo na translation zaidi ya ishirini na nyiongeza translation ya neno kwa neno

Deetat hiyo hapo sio dabete maana hakuna mpaka mwisho hakuna sehemu ya mwenzake kajibu yeye kaongea tu mwenyewe akakata majibu,

Ndio uwongo wa deedat Huo , umeweka?

Hiyo Link wewe umeiangalia ?
Naona hivyo unavyosema ni kinyume Na hiyo Link yako
 
Back
Top Bottom