Naomba ushauri kuhusu dini

Naomba ushauri kuhusu dini

Ndio uwongo wa deedat Huo , umeweka?

Hiyo Link wewe umeiangalia ?
Naona hivyo unavyosema ni kinyume Na hiyo Link yako
Dabate lizama iwe na response sasa yeye kaongea mwenyewe kakata kakipisi kaweka , bila majibu ya alie kuwa ana debate nae hapo tu ndio uongo wake unapoanzia
 
Dabate lizama iwe na response sasa yeye kaongea mwenyewe kakata kakipisi kaweka , bila majibu ya alie kuwa ana debate nae hapo tu ndio uongo wake unapoanzia

Ndio uongo wa deedat hapo ???
 
Sasa ulikuwa unajaza server ya nini si ungeweka link, alafu kumbuka JW ni waislamu wenzako

Hapo wameandika historia tu hamna kuhusu uislamu au ukristo, mbona unakuwa mjinga hivyo na chuki nyingi
 
mtoa mada ni mpumbavu kwanza yeye ni mkristo halifu anakuja kutuonyesha hapa kuwa yeye muislam anaipenda ukristo acha utapeli usijaribu kuongea uongo na hali unajulikana wewe ni mroma
 
Kwanza nakupa pole sana, umesema umesoma madrasa na unaijua Dini ya kiislamu? Kwa mtu anayeijua Dini ya Kiislam hawezi kuja kuomba msaada hapa jukwaani, naamini wewe ungekuwa msaada kwa wengine kuwaingiza kwenye Uisilamu.

Kama kweli ulichokifanya unakijua na malipo yako utakuwa unayajua baada ya kufa kaburini na siku ya kiaama. Kibaya zaidi unadiriki hata kuwapotosha watoto zako wakati wazazi wako wamekupa kheri zote? Nimejaribu kuandika lakini nashindwa kuuendelea, angalia wanaokupotosha wanakwambia Dini zote ni sawa, wapi na wapi? Nenda kwa wazazi wako ukawaambie kuhusu msimamo wako nadhani watakusaidia zaidi
hakuna mtu ambaye ameshagundua dini ya ukweli ni upi.So long wote tunamuambudu mungu mmoja usimpotoshe mwenzako kwa kuona dini yako ndio halali mbona kuna dini nyingi tu Hindu,Baniani,zoroaster,jainism,judaism,rasta fari,Tao,shinto wote hawa nao ni binadamu kama sisi usidhani mungu hawaoni
 
Binafsi sipendi kuskia mtu ananadi dini zama hizi! Fanya hivi, kusanya familia yako mtengeneze sala zenu za kumuomba mwenyezi Mungu, pangeni siku za kusali! Mjifungie zenu ndani mpige ibada! Kusanyeni sadaka, zigawaneni, kisha muende barabarani kila mtu kwa wakati wake kuwapatia wale omba omba! Mimi huwa nafanya hivyo! Nishaachana na ma dini yenu ya mchongo!
 
hizi dini zote tumeteletewa, msingi mkuu ni upendo na kumcha mwenyezi mungu, na Yesu ndio tumaini kuu kwa maisha ya sasa na hata baadae, hongera kwa kuchagua njia ya kweli.
 
Uongo ni kukata majibu au hicho anachosema ? Wewe zimo ?
Kuna sababu kubwa imefanya amekata majibu, alicho ongea kilijibiwa vyema yeye akakata kwa nia ya kupotosha
embu weka na kipisi cha majibu nasubiria
 
hizi dini zote tumeteletewa, msingi mkuu ni upendo na kumcha mwenyezi mungu, na Yesu ndio tumaini kuu kwa maisha ya sasa na hata baadae, hongera kwa kuchagua njia ya kweli.
dini zote tumeletewa inakuwaje tena Yesu awe tumaini kwani alikuambia wapi umtumaini yeye ??
 
Kuna sababu kubwa imefanya amekata majibu, alicho ongea kilijibiwa vyema yeye akakata kwa nia ya kupotosha
embu weka na kipisi cha majibu nasubiria
wewe huna majibu ??? na huwezi kuonyesha huo uongo ??
 
wewe huna majibu ??? na huwezi kuonyesha huo uongo ??
Simple sana hiyo debate lazima kulikuwa na nafasi ya huyo mzungu ku respond , weka hapa kipisi kilichokatwa
nasubiria
 
Simple sana hiyo debate lazima kulikuwa na nafasi ya huyo mzungu ku respond , weka hapa kipisi kilichokatwa
nasubiria

Nilikuwa nakuangalia kama uliisikiliza kumbe unabishana Tu hata hukuisikiliza .
Halafu unakimbia kujibu uzushi wako kuwa Deedat kaongea uongo. Nilikuwekea tofauti ya version Na translate hukuangalia au kiengereza kinakupiga chenga ?
Deedat kafahamisha vizuriy .
Hata sielewi Kama kweli wewe ni mkristo. Mkristo wa kweli habishani upuuzi Na kujibu kipumbavu.

Hiyo full debate ukiisngalia huyo Pastor ni mbabaishaji Kama wewe
 
Back
Top Bottom