Naomba ushauri kuhusu dini

Naomba ushauri kuhusu dini

Mimi ni Muislam kwa baba na mama na hatuna historia ya dini nyingine labda huko nyuma kabisa ambapo hata bibi zangu hawakuwepo au hawajui, imetokea mimi tu kuupenda ukiristo kiasi ambacho tangu niko form one miaka zaidi ya ishirini kubadili majina yangu na kuwa ya Kikiristo na nilikua nikisema baba yangu mkristo mama yangu ndiyo Muislam.

Bahati mbaya nikiwa form two nilikaa hostel ya waroma kwahivyo nilikuwa napenda wakati mwingine kwenda kanisani japo nilikua sielewi kitu, kuna wakati napotezea naanza kusali kiislam kwasababu dini ya Kiislam naijua nimesoma madrasa nikiwa mdogo na hakuna kitabu cha dini kina kina kinanishinda kusoma na hapo zamani nilikua nikisia mtu anasoma kuruan nalia bila kujua nalilia nini nikawa namwambia mama mbona nie nalia nikiona au kusikia kuruan inasomwa? Mama ananiambia tu inaitwa midadi hiyo.

Nimejikuta tu wanangu sijawapeleka madrasa na shule nimewapeleka shule za kikiristo na sipendi kabisa za kiislam wala madrasa na huwa nawaambia wanangu nendeni kanisani, na utu uzima huu kuna wakati nilipata majanga makubwa nikaona njia sahihi ni kuombewa kanisani nikaenda roma kuombewa ndani ya siku tatu pepo likatoka na nimeendelea kusali kiroma nikiwa nyumbani na natumia maji ya baraka wakati mwingi nahisi kabisa yananisaidia, halafu nikiwa kanisani nina amani zote nachokisema nakielewa nachokisali nakielewa! Naona mahubiri ya father nayaelewa vizuri na hapa nyumbani redio nasikiliza redio Maria tu na naifurahia.

Sasa wakuu nisaidieni hili ni pepo au nini? Je nibadili dini na utu uzima huu? Au nifanyaje nifute historia hii? Yaan sasa hivi ndiyo nazidi kuzama kwenye ukristo kiasi ambacho hata wanangu natamani waanze mafundisho, au kuna sehemu sijielewi?
Umesema unafahamu kusoma vitabu vya dini vyote sio?Sasa kasome QUR 16:124,4:154 na ufafanuzi kipengele C,KUTOKA 20:8-11,ISAYA 58:12-13,ISAYA 56:6-7,EZEKIELI 20:20,LUKA 4:16 NA WAEBRANIA 4:16.ITAKUSAIDIA SANA.MWENYEZI MUNGU AKUFANYIE WEPESI KATIKA KUELEWA HAYO MAANDIKO
 
Hiyo Link hamna hicho nilichokuuliza usijitie wazimu au Roho mtakatifu wenu ndivyo anavyowaongoza?
Mwambie akuongoze vyengine , sio akupeleke kwenye Link zisizo Na majibu unayoumizwa
Ulicho uliza Mimi jibu langu ni gusa link

Hilo ndio jibu langu kama unaona sio ivyo unaleta na lako tulinganishe
 
,. Hivi Roho mtakatifu wako Leo amechoka hata akupeleke kucopy Na kupaster bila kukwambia maana?
Hiyo ni link ya jibu una gusa inakupeleka kwenye jibu , haujarizika unaleta lako ambalo lipo tofauti na hilo langu mbona rahisi sana 😂 😂😂😂
 
Hapo hamna nililokuuliza labda Rohor mtakatifu wako yuko likizo
 
Hiyo link NDio jibu langu la mwisho Kwa swali ulilouliza , kama unaona hakuna jibu humo , weka jibu lako tuangalie na langu tofauti yake
 
Nilifungua zaidi nikakuta hii kitu

Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s.alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu.

Wanatoka kutokakoo takatifu. Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.

Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi chawazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnategemea nini
 
Sasa ndio nimejua wazi na debate na kichaa , Yani unauliza swali ukijibiwa unakuja na mambo mengine kabisa
 
Si Link umetoa mwenyewe tuangalie au hukuona huko mbele maneno haya??

napata mashaka na wewe kuhuau neno kuruani.hapo tu naona unaleta script za kina Blandina Chagula
NI HAYO TU.
 
Swali lako hili hapa
Na jibu langu hili hapa

Ni kweli Na Link imenipa zaidi hii

Halafu endelea kusoma hii

Stupidity is amazing 😂😂😂😂
 
Stupidity is amazing 😂😂😂😂

Mbona Link umetoa mwenyewe??
Soma Sasa inasema nini

Ukikutoka ukichaa ndio urudi kunitagi , ila kwa sasa ni kama majini yamekupanda hujui lipi ni lipi wala huelewi ulikuwa umeuliza nini
 
Wewe unaelewa pata som la Link yako hii , Roho Mtakatifu wako yuko likizo

Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s.alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu.

Wanatoka kutokakoo takatifu. Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.

Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi chawazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnategemea nini
 
Nicheke kwanza ,kivipi niwe na hasira kitu ambacho hakininufaishi wala kunidhuru wkt mtu akipotoka ni kwa nafsi yake na kuongoka vile vile kwa nafsi yake mwenyewe? kimfano hapo kwenye kupata mabwana si ilikuwa kwa nafsi yako mwenyewe (dhambi ,magonjwa mtoto,raha,maumivu nk)mimi nimepungukiwa nini na kuongezekewa nini Ktk maisha yangu ? Mimi nikikusikitikia tu na sio kukasika kwa ujinga wa mtu mwenyewe ..
Unanisikitikia kwa lipi ikiwa mie ndiyo furaha yangu ilipo? Mi nifurahi we uumie? Pole
 
Back
Top Bottom