Naomba ushauri kuhusu dini

Naomba ushauri kuhusu dini

Nimejibiwa Sawa mbona unakimbia kusema Huo uongo ? Video ya zaidi ya Saa kujibu kwa dakika mbili ?
Uongo ulitaka kuuleta kwa kukata sehemu ya majibu, na amejibiwa vizuri kabisa

hilo tumemaliza siku nyingine kama unaweka debate weka pande zote 2 , mtu anaeweka upande mmoja nia kubwa ni kusambaza uongo
 
Umeshajibiwa vizuri nini kilitokea kwenye ku translate, nimeenda kwenye majibu , na wewe pia ulikata makusudi ili usambaze uongo

Siamini JW na maandiko yao yote
Unaiamini biblia ipi ?
 
Uongo ulitaka kuuleta kwa kukata sehemu ya majibu, na amejibiwa vizuri kabisa

hilo tumemaliza siku nyingine kama unaweka debate weka pande zote 2 , mtu anaeweka upande mmoja nia kubwa ni kusambaza uongo
Ndiyo umeleta Huo uongo?
Biblia yako ni ipi unayotumia kanisa lenu ?
 
Sunna an nissaa ni kitu gani unavyofahamu wewe
Sijakujibu wewe

ila ngoja nikupe ingine
....I would have killed them according to the statement of Allah's Messenger (ﷺ), 'Whoever changed his Islamic religion, then kill him.'" Sahih al-Bukhari 6922
 
Hili tumeshamaliza kasikilize majibu kwenye clip ulioweka mwenyewe , na kwa nini ulikata majibu?
Hivi umeiangalia Saa ngapi ? Hata useme nilikata majibu , ndivyo Yesu alivyowafundisha kudanganya

Biblia unayotumia ni ipi kanisani kwenu mbona hujibu kiumbe wewe ?
 
Sijakujibu wewe

ila ngoja nikupe ingine
....I would have killed them according to the statement of Allah's Messenger (ﷺ), 'Whoever changed his Islamic religion, then kill him.'" Sahih al-Bukhari 6922
Si ungalimjibu private madhali ipo uwanjani utajibiwa tu

Biblia yako unayotumia ni ipi??haya kimbia
 
Relax naona umeanza kuogopa wapi nimeandika annasai

"Muhammad said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"Sunan an-Nasa'i 4063

Hiyo ndiyo biblia mnayotumia kanisani kwenu ?
 
Huwa naumia roho yangu nikiona mikwara ya kutishana badala ya kuelimishana! Nimezaliwa kwenyw uislam lakini nimekua nawaza ukiristo sijapenda hivyo yaan sijawaza kubadilika ila mabadiliko yamenipenda na kule nimekuta hakuna kutishana bali kuna kuelimishana na kuhubiriwa kwa lugha ninayoielewa kiswahili, ninaomba na kusali ninachokielewa! Kwahiyo mkuu usinitishe hakuna aliyekufa akafufuka akaeleza aliyoyakuta huko! Hata yesu sijui kama alisema kwa mungu kukoje au unielekeze
Endelea na ukafir ,we n kafir since day one huijui uislam na hujawah kuwa muislam
 
Sali dini ambayo moyo wako umeridhia.
Angalizo: Kama wazazi na ndg nimsimamo mkali tarajia kutengwa kweny Mambo yakifamilia.
 
Umemshika pabaya anakimbia kimbia tu kila unapompelaka 😂😂😂
Wapi alipo nimepeleka nimekimbia huoni mwenzako ali copy video nusu akakata majibu ,nimembana mpaka kaweka majibu
 
Hiyo ndiyo biblia mnayotumia kanisani kwenu ?
wewe jamaa naona kichwa chako kimeshachoka , post 609 ndio nimekupa majibu Sunan an-Nasa'i 4063
naona unarukia tena kwingine , alafu hoja ya hiyo hadith ulirukia tu nilimjibu mwingine ukarukia tu kuvuruga

Kanisani natumia SEPTUAGINTA ,KJV na BHN na zingine za kiswali nasoma ili kupata maana kwa urahisi
 
sasa kasome hii

Kill People Who Don’t Listen to Priests

Anyone arrogant enough to reject the verdict of the judge or of the priest who represents the LORD your God must be put to death. Such evil must be purged from Israel. (Deuteronomy 17:12 NLT)

Kill Witches

You should not let a sorceress live. (Exodus 22:17 NAB)

Kill Homosexuals
“If a man lies with a male as with a women, both of them shall be put to death for their abominable deed; they have forfeited their lives.” (Leviticus 20:13 NAB)

Kill Fortunetellers

A man or a woman who acts as a medium or fortuneteller shall be put to death by stoning; they have no one but themselves to blame for their death. (Leviticus 20:27 NAB)

Death for Hitting Dad

Whoever strikes his father or mother shall be put to death. (Exodus 21:15 NAB)

Death for Cursing Parents

1) If one curses his father or mother, his lamp will go out at the coming of darkness. (Proverbs 20:20 NAB)

2) All who curse their father or mother must be put to death. They are guilty of a capital offense. (Leviticus 20:9 NLT)

Death for Adultery

If a man commits adultery with another man’s wife, both the man and the woman must be put to death. (Leviticus 20:10 NLT)

Death for Fornication

A priest’s daughter who loses her honor by committing fornication and thereby dishonors her father also, shall be burned to death. (Leviticus 21:9 NAB)

Death to Followers of Other Religions

Whoever sacrifices to any god, except the Lord alone, shall be doomed. (Exodus 22:19 NAB)

Kill Nonbelievers

They entered into a covenant to seek the Lord, the God of their fathers, with all their heart and soul; and everyone who would not seek the Lord, the God of Israel, was to be put to death, whether small or great, whether man or woman. (2 Chronicles 15:12-13 NAB)
 
Naona una copy na ku paste haujengi unachtaka kufikisha ,
tengeneza hoja weka andiko, au ndio unaenda kule JW unacopy tu
Anza na andiko la kwanza Jenga hoja yako nini
 
Back
Top Bottom