Hili alitakiwa aliseme Mola mwenyewe au aseme Yesu mwenyewe, siyo nyinyi wala wanafunzi wake.Mungu ndio kaamua mwenyewe ajidhiirishe kwetu kwa Baba , mwana na Roho mtakatifu , na hilo ni kwa sababu yeye ni muweza wa yote vitu unavyo ona haviwezekani kwake vinawezekana
Upendo upi maana upendo hauna mipaka kwa maana hata ukipenda magaidi nao ni upendo.Dini ya kweli ni upendo na Kanisa ni moja Katoliki na la mitume
Inawzekana Mungu (wa wakristo) akafariki na kusiwepo na Mungu tena?Mungu ndio kaamua mwenyewe ajidhiirishe kwetu kwa Baba , mwana na Roho mtakatifu , na hilo ni kwa sababu yeye ni muweza wa yote vitu unavyo ona haviwezekani kwake vinawezekana
Na unapomuongelea Mungu wa wakristo unatakiwa usiweke uelewa wako wa Allah
Allah ni physical being creature , amefungwa na vitu vingine hawezi fanya
Jehovah ni spirit
Allah hawezi kuvaa mwili, ila uwezo wake ni kubadili shape zake Yani unaweza muona yupo kama ngamia badae anakuwa kama sokwe
Na pia Allah aliweza kuwa mti na moto akaongea na musa muislamu
Afadhali umemwambia kweli, isikilize hiyo sauti nenda kwa kiongozi au padre atakufahamisha yakupasayo kufanya, Bwana YESU akuangazie kwa yote. La omba Mungu anakuletea hiyo sauti akupe njia mwenyewe bila kushawishiwa na mtu na mtu, na ikiwezekana funga hata siku 3 uombe Mungu akuonyesha njia, Mungu hana upendeleo atakupa jibu pasina shaka. Kila raheri Mungu akufunulie yote.Nani kakuambia sina hela?
Hilo ni fungu jema sana karibu sana Mtumishi wa Mungu, watu kama nyie ndiyo mnatafutwa na BWANA YESU ili uww mtenda kazi wake!Kutokana na nikichoeleza hapo ndiyo nataman sana kuchanganya na mawazo yenu wakuu hapa
Amen Amen kubwa.Huwa naumia roho yangu nikiona mikwara ya kutishana badala ya kuelimishana! Nimezaliwa kwenyw uislam lakini nimekua nawaza ukiristo sijapenda hivyo yaan sijawaza kubadilika ila mabadiliko yamenipenda na kule nimekuta hakuna kutishana bali kuna kuelimishana na kuhubiriwa kwa lugha ninayoielewa kiswahili, ninaomba na kusali ninachokielewa! Kwahiyo mkuu usinitishe hakuna aliyekufa akafufuka akaeleza aliyoyakuta huko! Hata yesu sijui kama alisema kwa mungu kukoje au unielekeze
Tena povu la marobainipovu.
Haaaa wewe utakuwa shehe majini bila shakaUnasikitisha sana ndugu yangu,kuna mikoa ya wakristo wengi kama Songea,je huko hakuna Uganga?labda nikwambie uganga siyo kwenda tu kwa mpiga ramri,hata anayekupa maji ya upako sijui mafuta na vitambaa kwa kusema utapata utajiri naye ni Mganga.
Istoshe katika dini pekee iliyokataza Ushirikina ni Uisilamu,
Hilo neno la kafiri wamelitongoa kwenye Bible Agano la kale pia hata shehe nalo lipo kwenye Bible takatifu isikupe shida sanaHili neno ukafiri mwanzo nilikuwa naliona neno baya sana ila nilipokuja kufahamishwa nikaona sawa tu acha ikae hivyo.Kafiri ni yule asiyeamini katika uislamu kwahiyo hakuna shida yyte muislamu akimuita mkristo ni kafiri unless labda niliingizwa Chaka kuhusu tafsir ya hilo neno.
AiseSio kweli. Ye kasema kasoma madrasa na vitabu vyote kasoma maana yake misingi ya kiislam anayo. Apo naona alikiwa ajapewa jini la kumfanya kuwa mwislamu
Wewe nawe Daudi wawapi unachanganya madesa, huyo ni Yusuf mtoto wa Yakobo ndiye aliyeuzwa@Empress_sheila just so you know safari yako haitakua rahisi hata kidogo , as you can see comments nyingi za lawama, vitisho na kejeli lakini sauti ya Mungu ni kubwa kuliko yote hayo.
Hata Daudi alipingwa mnoooo na kaka zake hadi wakamuuza nchi ya mbali na wakadanganya wazazi kwamba amekufa ila bado haikuzima kusudi la.Mungu juu yake.........
Kama unapenda movie angalia God Calling (netflix) nigerian movie nzuri sana
Yaani kuna watu dini badala ya kuwajenga,zimewaharibu sana.Hata mie nimeshangaa!
Nini maana ya shehe majini? Au nyie ndiyo mnaotapeliwa na wale Waisilam wajanjawajanja wa kuandika tarasimuHaaaa wewe utakuwa shehe majini bila shaka
[emoji23][emoji23]
,kuwa na adabu,hayo ninayokwambia ndiyo mafundisho ya na hadithi za Mwenyezi Mungu,lakini mmedanganywa mkalishwa matango pori mkafundishwa vitu ambavyo Mwenyezi Mungu hakutufundishabalaa hiyo.
kwahiyo adamu wa kiislamu alikosea nini sasa hadi akatupwa kuteseka duniani.
Pole sana Elimu ni muhimu sana.Hivyo ni vitisho tu, nani alitoka kaburini akaja kukusimulia yaliyomkuta huko kaburini, Yesu mwenyewe pamoja na kufufuka lkn hakusema nini alikutanacho kaburini alisepa moja kwa moja mbinguni, mpaka leo tunasubiri lkn haji, tunaambulia vitabu vya injiri navyo ni vya kutunga tu wala YESU hakuviacha.
wewe unachagua mistari mingine unairuka makusudi,Hili alitakiwa aliseme Mola mwenyewe au aseme Yesu mwenyewe, siyo nyinyi wala wanafunzi wake.
Nanukuu :
“Siwezi kufanya lolote peke yangu. Chochote ninachosikia, Ninahukumu na hukumu yangu ni ya haki. sitafuti mapenzi yangu mwenyewe bali mapenzi yake aliyenituma.” [Yohana 5:30]
Andiko lenu hapo juu linaonyesha wazi ya kuwa si kweli kwamba Mola alijihihirisha katika umbile la ubidamu, sababu hapo ameonyesha udhaifu na Mola si mdhaifu. Kinyume chake mnachokidai nyinyi ni uzushi na kumzulia nabii wa Mola.
"Yesu anazungumza juu ya Mungu kama kiumbe tofauti kwake mwenyewe:
Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu. [Yohana 20:17]"
Hapo Yesu anaonyesha kwa vyovyote vile hawezi kuwa Mola, sababu amekiri kwa wazi kabisa yeye ni kama wewe tu. Kadhalika ana muabudu mnaye paswa kumuabudu nyinyi.
"Katika mstari huu anathibitisha kwamba alitumwa na Mungu:
"Huu ndio uzima wa milele: Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. [Yohana 17:3]"
Hapo Yesu anakiri kabisa ya kuwa Mola ni wa pekee, hana mwenza wala mshirika ndiyo maana hupati andiko ambalo Yesu anasema yeye ni Mungu.
Tuanzie hapa..
Kajishusha??? Tuhuma hizi ni world wide. World wide ndugu na ni kama mila pale katoliki. Kuhusu maustazi hawa wa mwendokasi ni ujinga tu uliopo hapa bongo lakini sio world wide issuePapa kajishusha, Je kuna sheikh yoyote ambaye alisimama kwenye hadhara na kukemea vitendo vinavyofanyika kwenye madrassa?
Mimi naomba sasa hivi. Isikie dua yangu.Hayo maandishi ya kiarabu yametafsiriwa? Mimi kafiri nikitaka kusoma naruhusiwa? Ukiwa unaomba unatumia lugha ipi? Je lugha tofauti na hiyo maombi yanasikilizwa?
Kila siku huwa nawaambia laoti nikiamua kutumia maandiko yenu lazima mtapoteana, sababu kuyaelezea hamuwezi. Maandiko niliyo yaweka yako wazi na maana zake ziko timamu kabisa.wewe unachagua mistari mingine unairuka makusudi,
inabidi nikufundishe kwa kutumia Koran ili kichwa yako ngumu ielewe
Katika Koran tunaona Allah akimtaja Yesu na kutoa sifa za Mungu
Kwenye Qur'an hapo anaongelewa Allah, kama ilivyoanza aya ya kwanza katika sura hiyo ya 57.Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Rev 22:12.“Sikiliza!” Asema Yesu, “Naja upesi pamoja na tuzo nitakalompa kila mmoja kufuatana na matendo yake. 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.
Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.