Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,511
- 9,353
Kwani weww umeambiwa hapo kwake hana shughuli nyingine za mikono zinazompa mazoezi..?Mstaafu gari ya nini? Atafanyaje mazoezi ya kutembea? Au atojoin na gym pia?
Au unajuaje kama ana ratiba ya kwenda gym