Utani PM hapo kweny ka icon ya message juu hapo utaenda kweny recipient then utani find kwa user ID yang hii then Uta niandikia nimepelea kias fuln cha pesa simple like thatAsante sana, kwahiyo nitawapata vipi ili mnipe hizo hela
UMESEMA UTAFANYA KILICHOKULETA HUMU TU.Nisaidie kuwaambia maan nimeona kuna watu wana maneno mabaya ila mimi siwajali nitafanya kilicho nileta humu tu
ππ€£ππ€£tulia kwanza upikwe msichanaπ€£
Hapana aisee nimeshangaa kuona jina la kipenzi changu linatumika huku! Acha nibadiliNi wewe mwenyewe unajibebisha kwa Pumpkin
Nimemchokoza nani sasa hapo?Una uchokozi
DuhhKaribu mke wa Pumpkin
KWA HIYO BWANA MGENI HADI PM UNAPAJUA ?Kuna nini
Mume ni naniKaribu mke wa Pumpkin
Wewe ndio mtoa upwiru humu ndani na husemi?Karibu sana ukiwa na Upwiru usisite kunitafuta PM yangu iko wazi
Siwezi kujielezaKWA HIYO BWANA MGENI HADI PM UNAPAJUA ?
SawaUtani PM hapo kweny ka icon ya message juu hapo utaenda kweny recipient then utani find kwa user ID yang hii then Uta niandikia nimepelea kias fuln cha pesa simple like that
hahaha nakukutanisha na mtoa upwiru. Mimi natoa upwiru kwa wale waliozidiwa tuWewe ndio mtoa upwiru humu ndani na husemi?
ukihitaji kuni au mafuta ya taa hebu niambie nitaleta π π π mpaka aiveKWA HIYO BWANA MGENI HADI PM UNAPAJUA ?
Usishare details zako iwe no.ama email ama NIDA itoshe kukuita Pumpkin girlHello habarini mimi ni mgeni kwenye hii forum japo nilikua nikiiona siku nyingi hivyo basi nimeamua kuji register Rasmi ili niwe na uwezo wa ku reply kwenye mada zenu naombeni mnipokee kwa ukarimu
UNAOGOPA KU BLOW UP YOUR COVER ?Siwezi kujieleza
ANATULETEA MICHEZO YA KIHUNIukihitaji kuni au mafuta ya taa hebu niambie nitaleta π π π mpaka aive
Ila weweHapana aisee nimeshangaa kuona jina la kipenzi changu linatumika huku! Acha nibadili
Asante kwa upendo wakoUsishare details zako iwe no.ama email ama NIDA itoshe kukuita Pumpkin girl
Duhh utukatanishe na matapeli tuibiwe simu si ndio?hahaha nakukutanisha na mtoa upwiru. Mimi natoa upwiru kwa wale waliozidiwa tu