Naomba niwaage

Mkuu nimeweka picha ya mlonge,matumizi yake ni kama ifuatavyo,chukua majani ya mlonge yakaushe kisha yasage ili upate unga,baada ya hapo chemsha maji (yachemke hasa) baada ya hapo tumia kutwa Mara mbili ,yaani asubuhi kijiko kimoja cha chai na jioni,ila kama una presha,kisukari,maralia na magonjwa mengine tumia kutwa Mara tatu

Ila kama ni kuinua kinga za mwili na huna tatizo jingine tumia kutwa Mara tatu
Mkuu kama inawezekana weka picha ya huo mlonge na namna ya kuutumia. Utaokoa wengi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20200502_130227_9.jpeg
    194.6 KB · Views: 6
Nini mbaya mkuu? Mdudu amepita kwako? Pole aisee, ondoa hofu ujitibishe taratibu huku ukifanya mazoezi, usikubali kulala pamoja na mwili kukutuma upumzike! Hofu ni mbaya kuliko Coona yenyewe!
 
Mpaka huyu Coona aondoke tutakuwa tumepata dawa za mafua kibao, hakuna atakayesumbuliwa na mafua tena! Ila mkuu nimecheka kama mazuri, yaaji kikohozi wewe unaita kikohoo? Wewe ni Msukuma? Ushauri mzuri sana huu wa kuondoa hofu!
 
We mjamaaa bwana Acha mautanii yakoooo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu nilikuwa natamani aje kuwa walau anatupa maendeleo.

Jamaa kaogopa kuliko.uhalisia.maama mi nilikuwa nachat na mdogo mmoja yupo Dar aisee.nilijikuta ghafla nimepata ujasiri wa.ajabu kuwa corona ni kitu flani ya kawaida.sana yaani dogo ananiambia ah Corona kawaida tu mi.mwenyewe nahisi ninayo nikamuuliza.dalili anajisikiaje mulemule.nilajua yenyewe ila ss huyo dogo yukp very comfortable ss.ndo @Ushimen.apagawe kiasi hiki???

Labda kama ana maradhi mengine nyemelezi but bado sio case ya kumtoa mtu kwenye njia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida nini kwani

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Jf itasaidia kukupunguzia muda wa kuwaza, usiondoke uendelee kupokea ushauri, punguza hofu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…