Naomba msamaha

KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
717
472
the_most_romantic_pics2_zpsb206ae42.jpg
 
Majemedari kupiga magoti kwa ajili ya kupata mbunye mbona simpo tu...... Ntafanya chochote kwa ajili ya ku secure pendo la nimpendae
 
Hapo umenena phatozoom! kiukweli tunapaswa kuomba msamaha kila tunapokosea.

Ila usipige magoti.....na si kila kosa uombe msamaha......Na kama kila wakati unafanya makosa yapasa kwa mwaka uombe msamaha angalau mara 1.............Na msamaha wenyewe utamke hivi: Yamekwisha au Poa au Nimeelewa au Ok, au Yaishe au kupiga kimya.
Kaunga akija hapa ni balaa lol!
 
Last edited by a moderator:
Anaomba msamaha huku anacheka duh.......!!!
Labda alifanya kosa la kuvunja kikombe cha chai......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom