Wapi inalimwa Tanzania? Kwani lazima mle tende? Au ndio kufuata mkumbo wa deen ya watu/ lol
Sio lazima tende ilimwe tanzania ndio uruhusiwe kula bwana!!! ama kweli fikra zako za kiajabu na za kishamba kabisa. wazungu na waarabu wanaagizia kila aina ya matunda kutoka nchi za nje na wao pia wana export matunda yao nje za nchi zao, lakini wewe unakataza watu eti wasile matunda ya kiarabu ama kweli elimu na akili ni mali.Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kufuhamu mambo.
Last edited: