Naomba msaada wa TENDE misikiti ya Rufiji

hivi kweli tende ndio kitu cha kuomba na kusisitiza kwamba huko hali ni mbaya, hivi watu wanafungia tende au, hii msg au ombi halina maana na linadhalilisha uislamu

Ndugu Kituko, Kufuturu kwa tende (kufungua kinywa kwa tende) baada ya kufunga siku nzima ni katika suna za Mtume wetu Muhammad (SAW).
 
Last edited:
..kipindi hiki kitumike kugawa tende pamoja na vitabu vya masomo kama hisabati.

..kipindi hiki yafanyike mashindano ya kusoma Quran, na mashindano ya hisabati na chemsha bongo, uandishi wa insha na utunzi wa mashairi, Kaswida etc.

..HII NI KARNE YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA.

Sasa kuna ubaya gani kugawa tende wakati wa KARNE YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA. au wewe unaona mungu alikosea kuumba tende ?
 
Hivi lazima mgeze hata kula matunda ya kiarabu? Au ndio usilamu kusujudu uarabu?

Tanzania imejaa matunda kede kede, lakini hawa jamaa lazima waweke umanga. Sasa wanombana tende kwenye mtandao. Huko rufiji kumejaa mabibo, kule hayo.

Hii si dini ya wote bali inaonyesha kwa hali kubwa sana kuwa ni ya waarabu.

Kaazi kweli kweli

Nani amekuambia kuwa tende ni yawaarabu tu ? acha ushamba bwana wee!!!!
 
Kila dini inautaratibu wake. Kwa watu wasitaarabu huheshimu dini ya mtu. Inashangaza mtu kuanza kuzungumzia tende au divai. Kama wewe wa Tende kuwa wa tende muache wa divai aendelee kuwa wa divai, same applied to divai...kama wewe ni wa divai kuwa wa divai muache wa tende aendelee kuwa wa tende. Heshimianeni.
Thread imeanzishwa ili kuwepo na msaada wa Tende, nafikili tusaidiane hapa. Endapo wewe si muislamu (kama mimi) yakupasa uheshimu LABDA kama dini yako au dhehebu inaruhusu kudharau dini ya mwenzio. Binafsi nilitarajia wale ambao si waislamu waendelee kuwaheshimu waislamu na kuthamini hii thread.
Ni kweli binadamu wanahitaji vitu vingi kama elimu,afya n.k IKUMBUKWE pia hata Tende zinahitajika sana. Kama wewe ni mtu wa imani basi unaweza ukadiliki kusema tende ni muhimu kuliko elimu, vivyo hivyo unaweza kusema divai ni muhimu kuliko elimu (kulingana na dini yako). Ukiwa wa divai heshimu wa tende and vice versa is true.

Ninadhani karibia dini zote zinzungumzia heshima.

Hatukatai kejeli, lakini kuwepo na limit...usitoe kejeli hata pasipohitajika kejeli.

Asanteni
 
waafrika especially wa waTz wana pombe zao za asli kama mbege, dengerua, ulaka, tembo, ulanzi, chimpumu,lubisi nk. sasa vipi kule kanisani wanapewa DIVAI ambayo ni ya kizungu.
Hii si dini ya wote bali inaonyesha kwa hali kubwa sana kuwa ni ya wazungu.
kazi kweli kweli

Mkuu Barubaru,

Mtu akikwambia, kwa nini unatafuta tende badala ya kula matunda ya nyumbani Rufiji, wewe ukamjibu "mbona kule kanisani wanakunywa Divai badala ya Dengerua," maana yake unakubali nyote mmelimbukia tamaduni za nje. Hujajibu hoja, kama mtoto anaekamatwa mkono kwenye jungu la vitumbua wakati wa kwenda kulala, anasema hata kina Pendo wanakula vitumbua usiku. Ya kina Pendo hayakuhusu. Hususan wewe ni mtu mzima.

Halafu hujui huyo aliyekwambia kama ni Mkristo au la. Usihalalishe kitu kwa vile tu Wakristo nao wanafanya.
 
Hivi lazima mgeze hata kula matunda ya kiarabu? Au ndio usilamu kusujudu uarabu?

Tanzania imejaa matunda kede kede, lakini hawa jamaa lazima waweke umanga. Sasa wanombana tende kwenye mtandao. Huko rufiji kumejaa mabibo, kule hayo.

Hii si dini ya wote bali inaonyesha kwa hali kubwa sana kuwa ni ya waarabu.

Kaazi kweli kweli

Sasa wewe unadhani kuwa Mungu ameziumba tende kwa ajili ya waarabu tu ? au kwa ajili ya watu wote ? nasubiri jibu.
 
Kaaaazi kwelikweli..sasa tunaanzana kuombana tende kwenye internet..This is sooo loww!
 
Mkuu Barubaru,

Mtu akikwambia, kwa nini unatafuta tende badala ya kula matunda ya nyumbani Rufiji, wewe ukamjibu "mbona kule kanisani wanakunywa Divai badala ya Dengerua," maana yake unakubali nyote mmelimbukia tamaduni za nje. Hujajibu hoja, kama mtoto anaekamatwa mkono kwenye jungu la vitumbua wakati wa kwenda kulala, anasema hata kina Pendo wanakula vitumbua usiku. Ya kina Pendo hayakuhusu. Hususan wewe ni mtu mzima.

Halafu hujui huyo aliyekwambia kama ni Mkristo au la. Usihalalishe kitu kwa vile tu Wakristo nao wanafanya.

Acha ushamba bwana wee!! eti kula tende ni utamaduni wa nje!!!!!!!!.
 
Hivi lazima mgeze hata kula matunda ya kiarabu? Au ndio usilamu kusujudu uarabu?

Tanzania imejaa matunda kede kede, lakini hawa jamaa lazima waweke umanga. Sasa wanombana tende kwenye mtandao. Huko rufiji kumejaa mabibo, kule hayo.

Hii si dini ya wote bali inaonyesha kwa hali kubwa sana kuwa ni ya waarabu.

Kaazi kweli kweli

Ni dini ya Waarabu, mkulu. Jamaa wanafuata mkumbo tu, hawana chao.
 
Acha ushamba bwana wee!! eti kula tende ni utamaduni wa nje!!!!!!!!.

Yani nyie kweli kichwani ni kutupu. Mtume kawadanganya mpaka kula tende? Matunda ya jangwani mnayalia nini? Hivi Bongo hatuna matunda ya maana mpaka msubiri tende? Tena kutoka kwa wamanga?

Uislam si deen ya Waafrika bana.
 
nawshukuruni wote kwa michango yenu ya hali na mali. naomba mjue kuwa sehemu kubwa ya Tanzania hivi sasa imekumbwa na ukame. na Serikali imeanza kutoa mahindi ya msaada.

sasa kwa kuona hili nami nimeamua kuomba msaada wa tende kwa wale wanaofunga wapate futari murua.

barubaru. nazidi kukushukuru, kana mzigo umetua Ikwiriri na leo tunaanza kusambaza.

Ijumaa njema na Swaumu poa
 
...IKUMBUKWE pia hata Tende zinahitajika sana. Kama wewe ni mtu wa imani basi unaweza ukadiliki kusema tende ni muhimu kuliko elimu,

Tende haziwezi kuwa muhimu kuliko elimu bwana... Mtume S.A.W. alisema ni bora kukaaka kitandani unafikiria elimu kuliko kuswali na kuabudu miaka sabini...na imesemwa WINO WA MSOMI NI BORA KULIKO DAMU YA ALIYEJITOA MUHANGA KUPIGANIA UISLAM!

Kwanza tende sukari tupu, mi diabetes mitupu... kula papai urudishe ma vitamin uliyoyakosa wakati wa swaumu....elimu muhimu!
 
well said.
 
Kila dini inautaratibu wake. Kwa watu wasitaarabu huheshimu dini ya mtu. Inashangaza mtu kuanza kuzungumzia tende au divai. Kama wewe wa Tende kuwa wa tende muache wa divai aendelee kuwa wa divai, same applied to divai...kama wewe ni wa divai kuwa wa divai muache wa tende aendelee kuwa wa tende. Heshimianeni.
Thread imeanzishwa ili kuwepo na msaada wa Tende, nafikili tusaidiane hapa. Endapo wewe si muislamu (kama mimi) yakupasa uheshimu LABDA kama dini yako au dhehebu inaruhusu kudharau dini ya mwenzio. Binafsi nilitarajia wale ambao si waislamu waendelee kuwaheshimu waislamu na kuthamini hii thread.
Ni kweli binadamu wanahitaji vitu vingi kama elimu,afya n.k IKUMBUKWE pia hata Tende zinahitajika sana. Kama wewe ni mtu wa imani basi unaweza ukadiliki kusema tende ni muhimu kuliko elimu, vivyo hivyo unaweza kusema divai ni muhimu kuliko elimu (kulingana na dini yako). Ukiwa wa divai heshimu wa tende and vice versa is true.

Ninadhani karibia dini zote zinzungumzia heshima.

Hatukatai kejeli, lakini kuwepo na limit...usitoe kejeli hata pasipohitajika kejeli.

Asanteni

Nakubaliana na ww, isipokuwa kejeli kwenye dini haitakiwi hata kidogo- kama mtu huna cha kuchangia kwenye thread ni vyema ukatafuta ustaarabu mwingine
 
Back
Top Bottom