Mtaule mgunda
Senior Member
- Jan 25, 2014
- 192
- 60
Habari za jion wana jf,
Ni kuwa nina akaunti ya kuweka akiba NBC ambayo mara nyingi huwa naweka akiba yangu.
Ila leo nimeangalia salio naona lile salio la mwsho kuangalia halijawa lile ambalo nilitarajiwa liwepo leo navyoangalia, yaani naweka ela nasema leo nianglie nbc mkonon lazima itakuwa kiasi fulan ila nikiangalia nakuta ipo below matarajio.
Sasa maswali ni kuwa je labda navyoenda kuweka ela mawakala wanafanya ujanja huwa hawaweki sometimes?
Japo nikimpa wakala ela risiti mara nyingi sichukui ila sms ya nbc mkononi huwa napata.
Sasa inawezekana nikapata meseji alafu wakala akafanya ujanja kutoa pesa?. Naombeni msaada wa mawaxo.