Naomba msaada wa makazi Dar es salaam

wakuu asanteni kwa michango yenu
nimefika Dar jamani naombeni hifadhi

post ambayo nitapangiwa ni either TBL HQ, KONYAGI ama DEPOT ya TBL Ubungo.

kwa atakaekuwa na moyo wa kunisaidia please naomba tuwasiliane.
Nenda kareport kazini utasaidiwa na wafanyakazi wenzio. Hivi unajua ni ngumu kumpa hifadhi mtu ambae humjui? wafanyakazi wenzio wana security, watakuwa wanakuamini kiasi hata kwa utambulisho, taarifa zako ziko kazini.

Watu wanabadilika, unajisemesha hapa eti ukipata mshahara utaondoka, wacha kutudanganya, huwa watu aina yako wakipataga huo mshahara hawaondoki, atajifanya kujisahaurisha hadi miezi 3 na mtu anaona ngumu kukufukuza.(Nina experience na hili)

Kingine security ni ndogo sana, usinichukie kusema haya koz na mm najua shida. Kuna familiya walikaribisha mtu kama wewe, walijuta, baada ya kuzoea mazingira aliingiza wezi ndani mchana wakiwa kazini vitu vya thamani vyote viliondoka, na yeye akasepa.

So watu wanaogopa mambo kama haya ila nachojua watanzania ni wazuri kusaidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom