Nima Imma
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 2,467
- 3,698
Hapana, ila naimani atasaidikaAmekutafuta au ndio kachukulia utani?
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Hapana, ila naimani atasaidikaAmekutafuta au ndio kachukulia utani?
Mdogo angu mimi ninakaa mbali sana mpaka ufike UBUNGO utalazimika kutumia sh 1000 mpaka 2500 kwenda na kurudi 2000 mpaka 2500 na uhakika wa kuwahi kazini utakua mdogo.Habari za muda huu mabibi na mabwana!
Natumai mu wazima wa afya
Samahani kama bandiko hili haliko sehemu sahihi
Mimi ni kijana wa kiume (miaka 29, sijaoa), mwenyeji wa mkoa wa Mwanza.
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitafuta ajira bila mafanikio lakini mwezi huu nimepata kibarua kidogo cha kunisogeza mbele, ndani ya jiji la Dar.
Wakuu,
Shida inakuja sasa sina uwezo wa haraka wa kulipia chumba kwa ajili ya makazi.
Hivyo basi,
Nipo hapa kuomba hifadhi ya muda kwa mtu atakaekuwa na uwezo niweze nifadhili nipate pa kukaa wakuu angalau kwa mwezi mmoja wakati nikingoja mshahara wa kwanza ili niweze kupanga.
Nipo tayari kuchangia kiasi cha pesa kwa ajili ya maji na umeme.
Taarifa zangu binafsi
Jinsi; Me, mrefu, mweusi
Asili: Mara (serengeti District)
Umri; 29 y.o, sijaoa
Kilevi: situmii kwa sasa, sio mtokaji sana
Samahani kama nitawakwaza kwa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea mkuu,akikugusisha kidogo kwenye tak.. unaanza mwenyewe kutetemeka,kuja kushtuka kitu kiko ndani;hisia ni kitu kingine mkuuDuhhh ,,sema yeye ashindwe uvumivu si mimi
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Aisee , ni siku mpya yenye baraka tele ,na Mungu akatuongoze tuvuke salamaInategemea mkuu,akikugusisha kidogo kwenye tak.. unaanza mwenyewe kutetemeka,kuja kushtuka kitu kiko ndani;hisia ni kitu kingine mkuu
Inaonekana hujamsoma vizuri kule juuAfu unaomba kukaa mwezi,
maji unatumia bure,
Umeme bure,
Kula bure,
Kitanda ulale bure,
Bado ukiumwa nikupeleke hosp,
Maisha kama hayo Dsm hamna asee...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Itabidi awe mke wa hiariWrite your reply...mtoa mada kuna sister hapo juu kajitolea changamka dunia hii kuna watu wana roho nzuri
yaani hapo we mkurya wa Serengeti hapo kwa huyo sister una pata vitu viwili kwa wakati mmoja
-P
-malazi
I mean peace acheni mawazo mgando wabongo bhana
Aisee wewe mdada nikija dar...nitaomba uwe mwenyeji wangu siku mbili.Duhhh ,,sema yeye ashindwe uvumivu si mimi
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee wewe mdada nikija dar...nitaomba uwe mwenyeji wangu siku mbili.
Ahahahaha vile Dar kulivyo na joto nitalala na boxer tuu 😂 😂 😂Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
wakuu asanteni kwa michango yenu
nimefika Dar jamani naombeni hifadhi
post ambayo nitapangiwa ni either TBL HQ, KONYAGI ama DEPOT ya TBL Ubungo.
kwa atakaekuwa na moyo wa kunisaidia please naomba tuwasiliane.
nahitaji sana msaada mkuuMsaada pekee ni kukuitia MLEVi Mmoja, huyu mwamba atakupa hifadhi kimwili na kiroho..... thank me later.
please check your pm sis.Hapana, ila naimani atasaidika
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
asante kwa mchango wako broWrite your reply...mtoa mada kuna sister hapo juu kajitolea changamka dunia hii kuna watu wana roho nzuri
yaani hapo we mkurya wa Serengeti hapo kwa huyo sister una pata vitu viwili kwa wakati mmoja
-P
-malazi
I mean peace acheni mawazo mgando wabongo bhana