Naomba msaada; Mchumba hataki mimi niende kusoma

Naomba msaada; Mchumba hataki mimi niende kusoma

Akishaolewa akileta swala la kwenda shule ataulizwa uende shule ili iweje!? Kwani unalala njaa humu ndani!? Unatembea uchi!? Una shida ipi hadi utake kwenda kusoma!? Lakini mwanaume huyu huyu mwambie binti yake aishie la saba au O'level kisha aolewe utaona jinsi anavyokuja juu kama mbogo!

It is okay kwa mtoto wa kike wa mwenzie asipate elimu ya juu lakini si wa kwake! Baadhi ya wanaume na undumilakuwili wao kwenye issue hii wanashangaza sana kusema kweli.
Haha inferior/alpha male wana shida sana. Hawataki wanawake waliosoma but at the very same time wanawapeleka shule mabinti zao khaaa. Yani wakishaoana bwana ndo atagoma kabisa mke kurudi shule, ndo nitolee hiyo. Mwanaume wa kweli anasupport ndoto za mke wake.
 
Fuata kile ambacho moyo wako unataka, na nidyo mpango wa Mungu juu yako. Sauti zingine zinaweza kuwa sauti za shetani zitakupoteza. Mfano: Unaacha kwenda shule, mumeo mtarajiwa anakuja kufa/kufukuzwa kazi na wewe mama wa nyumbani utakuja kuteseka na kutesa watoto. Unaweza kwenda shule ukashawishika na jamaa ambaye anaweza kukupenda mkiwa shule ila baada ya shule anapunguza upendo, anakuwa malaya sana anakuambukiza ukimwi, na unaishia wewe na wanao kufa na yule mchumba wako wa zamani unabaki kukumbuka. Hivyo naamini kile kilichopo Moyoni mwako ndilo jibu sahihi na ukilichagua na Mungu atasimama na wewe
 
kwa niliyoyaona vyuoni wadada mnapoteaga sana tengeneza ndoa shule ipo utasoma. labda kama umpendi huyo mwanaume, angalia na wanokushauri wengine wameshakata tamaa ya kuolewa.
 
Ukishazaa kurudi shule ni ngumu!
Si kweli kuwa ukishazaa kurudi shule ni ngumu wengi wamerudi skuli baada ya kuzaa, but she can follow her instinct for her future, kama akiona future yake ipo kwenye ndoa afwate, kama anaona ipo akienda chuo it's ok, ni vyema aka meditate before, aka leave wrong na Ku choose correct.
 
Correct.
 
Akishaolewa akileta swala la kwenda shule ataulizwa uende shule ili iweje!? Kwani unalala njaa humu ndani!? Unatembea uchi!? Una shida ipi hadi utake kwenda kusoma!? Lakini mwanaume huyu huyu mwambie binti yake aishie la saba au O'level kisha aolewe utaona jinsi anavyokuja juu kama mbogo!

It is okay kwa mtoto wa kike wa mwenzie asipate elimu ya juu lakini si wa kwake! Baadhi ya wanaume na undumilakuwili wao kwenye issue hii wanashangaza sana kusema kweli.
That's true wanaume wengi hawajui thamani ya mtoto wa kike, nimependa ulivyoweka wazi.
 
Hili bado ni tatizo kubwa sana nchi kwetu labda litakuja kupungua kadri miaka inavyoenda. Nimeona moja humu wanawake wasomi wanahusishwa na umalaya lol! Inawezekana kuna baadhi wanafanya umalaya lakini si wote na ni kikundi kidogo tu.

Haha inferior/alpha male wana shida sana. Hawataki wanawake waliosoma but at the very same time wanawapeleka shule mabinti zao khaaa. Yani wakishaoana bwana ndo atagoma kabisa mke kurudi shule, ndo nitolee hiyo. Mwanaume wa kweli anasupport ndoto za mke wake.
 
Hili bado ni tatizo kubwa sana nchi kwetu labda litakuja kupungua kadri miaka inavyoenda. Nimeona moja humu wanawake wasomi wanahusishwa na umalaya lol! Inawezekana kuna baadhi wanafanya umalaya lakini si wote na ni kikundi kidogo tu.
I guess kwa sababu chuoni, ndo mabinti wengi wanaanza kuwa free, away from their parent's eyes, kale kauhuru wengine huwa kanawachanganya kidogo. But that's not the case; hata ambao hawajasoma wapo ambao hawajatulia kibao. Wanaume wasiotaka wasomi wengi wao wanahofia "challenges" na mambo ya kupelekeshana in the name of "submission" wanawake wengi wasomi hawayataki.
 
Kwa umri wako na elimu yako, better ukaenda shule kwanza. Kama ni ngumu kwake kukuruhusu uende shule sasa hivi; ni ngumu zaidi yeye kukuruhusu uende shule once you are married +watoto. Maisha hayarevolve around ndoa only, kuna Maisha nje ya ndoa. Sijui kama ndoa inaua ndoto za wanawake wengi, but ukishaolewa ni kazi zaidi kutimiza ndoto zako binafsi. Omba hata wazee wako waongee naye, maybe itasaidia kukuelewa. Kila la kheri
Ndio yaleeee ya kuishi dreams za waume zetu, mambo yakibuma unabaki ukilia na dunia.
 
Achana na chuo kama shule utaikuta kwenye nyumba yako.

'Hatuoagi' wasomi sisi.
 
Mkiendaga chuo mnabadilikaga,
Ukute hapo unataka akusomeshe,nani anapenda kusomesha halafu akataliwe baadae!!
Hata mm nisingekubali,uzae kwanza ndo.uende chuo! Fair!
 
Vyuoni wake za watu wanajitoa akili kabisa,wanapanga ghetto nje ya chuo
 
Back
Top Bottom