Prince Rodex
Member
- Jan 30, 2017
- 30
- 17
Tatizo ni wivu,
Habari zenu wanajamvi naomba ushauri kutoka kwenu.....
Mimi ni binti wa early twenties na nina mchumba ambae mpaka kwa wazazi anajulikana na mungu akipenda mwaka huu tutaoana......
Kilichonileta hapa ni hiki kuanzia mwaka Jana nilikua nataka nianze process nirudi shule nilipomshirikisha huyu mchumba kakataa kabisa tena kaenda mbali zaidi na kuniambia siku utakayokwenda shule kata mawasiliano na mimi.....
Na Mimi nimemwambia mbona inawezekana kwenda chuo na mambo yote yakaendelea kama kawaida lakini bado ameshikilia uzi huohuo wa mimi nisiende chuo.......
Naombeni ushauri nisimamie wapi maana najikuta nawaza nashindwa kujua ni choose ni kitu gani....
Nb: Yeye amesoma
Aisee mimi sio mtu wa dini kiviile, sasa Mungu unamuuliza na anakujibu vipi?Kitucha kwanza kabisa kama wewe no mkristo uliyeokoka na unamjua Mungu hebu mshirikishe Mungu umuulize kama Hugo mwanaume anakufaa au la. Nina uhakika utajibiwa tu. Maana masuala ya kukurupuka kwa akili zako mwenyewevau shinikizo LA wazazi ujue maisha in yako mwenyewe, si ya wazazi wako. Mimi nakushauri nenda kasome shule kwanza. Were bado mdogo utakuja kuolewa tu. Tafuta kwanza elimu.
Mi nakushauri chagua moja kujiendeleza au kutokujiendeleza. Kwa muda mrefu dhana hii ya kila kitu kuamua mwanaume hata kama bado hajaoa imeshika kasi. Tuchukulie mmoja wapo anapata matatizo hapo mbeleni ya kutokuendelea kuwajibika kiuchumi je, kuacha kwenda kwako shule kutawezesha nini ikitokea kwake?Mmhhh kwa hiyo unanishauri vipi nikatoe huu ujinga ama
Huyo mwanaume hakupendi angekua anakupenda asingethubutu kukwambia "siku ukienda chuo kata mawasiliano na mimi" why!!Mmhhh kwa hiyo unanishauri vipi nikatoe huu ujinga ama
Naona jamaa wako kama mkoloni hivi..Vipi mahusiano yenu yapo fresh?Hana sababu ya msingi maana anasema hayo hayakua makubaliano yetu Mara aseme nisubiri tuoane nizae angalau mtoto mmoja ndo nirudi shule lakini kwa upande wangu naona ukishazaa majukumu yanaongezeka na ndio maana nko njia panda
Kusoma kwa mwanamke sio maendeleo ya mme bank ni maendeleo binafsi...Hana nia njema nawe huyo!!! Tena wa kumtupilia mbali. Mwanaume gani hataki maendeleo ya mwenza wake? Kama unatamani kuendelea kusoma bora ufanye hivyo saivi, kwenye ndoa itakua ngumu kidogo.
Wanaume wengine wanataka wakikuoa waku-control hadi unapotaka kununua peni. Wanaogopa ukiwa msomi utakua na akili yako na kuweza kujitegemea.
Wadada wengi ata hivyo tunakumbwa na tamaa tukiwa chuoni, anaweza akawa anaogopa mwanamke wake kuibwa.
Jaribu kuongea nae ujue sababu ya yeye kutotaka wewe usome. Utajua anakataa kwa mema au mabaya.
Hana sababu ya msingi maana anasema hayo hayakua makubaliano yetu Mara aseme nisubiri tuoane nizae angalau mtoto mmoja ndo nirudi shule lakini kwa upande wangu naona ukishazaa majukumu yanaongezeka na ndio maana nko njia panda
Sio kwamba hapendi maendeleo mtu anataka kuanzisha familia halafu m/mke anataka kwenda shule huoni hapo unachelesha malengo ya mwenzake ya kuanzisha familia. M/ume ana malengo tofauti na huyu dada cha maana hapo ni kukaa chini na kujadiliana na kufikia muafaka. Usimwambie mwenzake kuwa m/ume wake hampendi au hapendi maendeleo yake si sahihi. Upendo wao wanaujua wenyewe ndio maana wamekubaliana waoane.Hana nia njema nawe huyo!!! Tena wa kumtupilia mbali. Mwanaume gani hataki maendeleo ya mwenza wake? Kama unatamani kuendelea kusoma bora ufanye hivyo saivi, kwenye ndoa itakua ngumu kidogo.
Wanaume wengine wanataka wakikuoa waku-control hadi unapotaka kununua peni. Wanaogopa ukiwa msomi utakua na akili yako na kuweza kujitegemea.
Wadada wengi ata hivyo tunakumbwa na tamaa tukiwa chuoni, anaweza akawa anaogopa mwanamke wake kuibwa.
Jaribu kuongea nae ujue sababu ya yeye kutotaka wewe usome. Utajua anakataa kwa mema au mabaya.