kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,500
Maisha yenyewe haya ya dunia hii ya leo halafu usiwe na elimu ya juu unaweza juta.
Si ndio hapo sasa. Na tunakoelekea ndo kabisa.
Maisha yenyewe haya ya dunia hii ya leo halafu usiwe na elimu ya juu unaweza juta.
kwanza kabisa mfumo wa elimu yetu hauwezeshi mtu kupata maarifa ila kuongeza tuu status ya mtu (unajua kwa nchi yetu mshahara is directly proportional to academic qualification na sio knowledge) so people strive to get education not for the sake of knowledge but ern more money thats why idadi kubwa ya wapumbavu wa hii nchi ni wasomi tena maprofessor.Anaogopautapata maarifa.
love is blind Paprika labda amempenda naturally regardless of her academnic profileUkute amekupenda kwa sababu umeishia sekondari.
kwani ndoa ni nini Paprika ? ukijua ndoa ni nini then you won't give a damn about your degreeWanawake wa madegree wanatuogopa siku izi...
unyenyekevu kwenye ndoa unatokana na true knowledge of GOD... ukijua kuwa ndoa ni agreement kati yako wewe na partner wako uliyoiweka mbele za Mungu na ukajua Mungu anataka nini katika hayo makubaliano yenu then automatically hutakuwa na jeuri. Ila kama mlikutana bar, vikao vya harusi mkafanyia bar, sendoff ikafanyika bar na harusi yenyewe ukaja kumalizia bar na bado nyinyi wenyewe ni walevi basi 'unyenyekevu ' utakuwa ni kama anasa kwenu.Eti si wanyenyekevu kwenye ndoa.
Yes.. Kwanini usingesema wewe ni under 80sijakusudia kitu kibaya ni sikutaka tuu kutaja miaka yangu moja kwa moja..... Kwani kuna tatizo
Nenda shule ewe mwanamke, kule utapata handsome wako mwenye hogo la kutosha kama unamaindisha hogo !Habari zenu wanajamvi,
Naomba ushauri kutoka kwenu,
Mimi ni binti wa early twenties na nina mchumba ambae mpaka kwa wazazi anajulikana na Mungu akipenda mwaka huu tutaoana.
Kilichonileta hapa ni hiki kuanzia mwaka Jana nilikua nataka nianze process nirudi shule nilipomshirikisha huyu mchumba kakataa kabisa tena kaenda mbali zaidi na kuniambia siku utakayokwenda shule kata mawasiliano na mimi.
Na mimi nimemwambia mbona inawezekana kwenda chuo na mambo yote yakaendelea kama kawaida lakini bado ameshikilia uzi huohuo wa mimi nisiende chuo.
Naombeni ushauri nisimamie wapi maana najikuta nawaza nashindwa kujua ni choose ni kitu gani.
Nb: Yeye amesoma
Thank you for advice....... Na asante pia kwa kujaliPole sana kwa titizo hilo. Usiogope, hauko peke yako, ni wengi yamewapata. Jambo jema ni kwamba ipo njia.
'Kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi si mwisho wa maisha. Maisha ni lazima yaendelee. Mipango ni lazima iendelee. Ndoto ni lazima zitimizwe'.
Kabla hujakutana na mpenzi, ulikuwa na maisha yako, ndoto zako, na mipango yako. Mpenzi ni mtu, anaweza akakuacha, lakini maisha yako yatabaki. Hivyo basi, usitupe maisha yako, ndoto zako kwa ajili ya mtu. Wapo watu wengi walioacha kazi, masomo, biashara kwa sababu ya mapenzi, na mwisho wa siku wakaachika. Moyo wa mtu ni sawa na nchi usiyoijua. Huwezi kujua ni lini atakubadilikia.Huwezi kujua ni lini atakuacha. Vilevile, huwezi kujua atakuacha kwenye mazingira gani.
Ushauri wangu: Nenda shule. Timiza ndoto zako. Wekeza kwenye maisha yako. Mwanaume mzuri ni yule anayekusapoti kwenye mambo ya msingi kama hayo. Mwanaume mzuri ni yule anayeongeza thamani kwenye maisha yako. Ukiona anapunguza thamani kwenye maisha yako ujue hakufai. Wekeza vya kutosha kwenye ndoto zako, na kamwe hutokosea, na mbeleni hutopotea.
Vipi kuhusu huyo mwanaume? Kaa naye tena mzungumze. Mweleze nia yako, na faida ya wewe kuendelea na masomo yako, na kutimiza ndoto zako. Kimsingi, mafanikio yako ni mafanikio yake pia. Wewe utakapofanikiwa, utakuwa ni msaada na kwake pia. Zungumza naye tena. Asipokuelewa, songa mbele na maisha yako, na Mungu atakusaidia.
Ninaamini kwa mchango huu na michango ya wengine, utapata kitu cha kukusadia. Nakutakia heri na mafanikio.
Thank you for advice....... Na asante pia kwa kujali
Mwulize Jokate alichokuwa anabugiziwa na Hashim Thabeet!Hogo ni kitu gani.....
Tujadili kwa kuzingatia pande zote. Yawezekana jamaa anajua mtu wake sio mwaminifu. Na chuoni huko ni balaaPole sana kwa titizo hilo. Usiogope, hauko peke yako, ni wengi yamewapata. Jambo jema ni kwamba ipo njia.
'Kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi si mwisho wa maisha. Maisha ni lazima yaendelee. Mipango ni lazima iendelee. Ndoto ni lazima zitimizwe'.
Kabla hujakutana na mpenzi, ulikuwa na maisha yako, ndoto zako, na mipango yako. Mpenzi ni mtu, anaweza akakuacha, lakini maisha yako yatabaki. Hivyo basi, usitupe maisha yako, ndoto zako kwa ajili ya mtu. Wapo watu wengi walioacha kazi, masomo, biashara kwa sababu ya mapenzi, na mwisho wa siku wakaachika. Moyo wa mtu ni sawa na nchi usiyoijua. Huwezi kujua ni lini atakubadilikia.Huwezi kujua ni lini atakuacha. Vilevile, huwezi kujua atakuacha kwenye mazingira gani.
Ushauri wangu: Nenda shule. Timiza ndoto zako. Wekeza kwenye maisha yako. Mwanaume mzuri ni yule anayekusapoti kwenye mambo ya msingi kama hayo. Mwanaume mzuri ni yule anayeongeza thamani kwenye maisha yako. Ukiona anapunguza thamani kwenye maisha yako ujue hakufai. Wekeza vya kutosha kwenye ndoto zako, na kamwe hutokosea, na mbeleni hutopotea.
Vipi kuhusu huyo mwanaume? Kaa naye tena mzungumze. Mweleze nia yako, na faida ya wewe kuendelea na masomo yako, na kutimiza ndoto zako. Kimsingi, mafanikio yako ni mafanikio yake pia. Wewe utakapofanikiwa, utakuwa ni msaada na kwake pia. Zungumza naye tena. Asipokuelewa, songa mbele na maisha yako, na Mungu atakusaidia.
Ninaamini kwa mchango huu na michango ya wengine, utapata kitu cha kukusadia. Nakutakia heri na mafanikio.
Tujadili kwa kuzingatia pande zote. Yawezekana jamaa anajua mtu wake sio mwaminifu. Na chuoni huko ni balaa