mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,896
- 3,657
Na akija chuo tutamshughulikia inavyobidi.
Umeamua kumdanganya mwenzio?Achana na kuwaza masuala ya ndoa, soma wewe! yaani hata Chuo hujaenda unaanza kuwazia unyumba!, kuolewa kupo tu hakuishi
Habari zenu wanajamvi,
Naomba ushauri kutoka kwenu,
Mimi ni binti wa early twenties na nina mchumba ambae mpaka kwa wazazi anajulikana na Mungu akipenda mwaka huu tutaoana.
Kilichonileta hapa ni hiki kuanzia mwaka Jana nilikua nataka nianze process nirudi shule nilipomshirikisha huyu mchumba kakataa kabisa tena kaenda mbali zaidi na kuniambia siku utakayokwenda shule kata mawasiliano na mimi.
Na mimi nimemwambia mbona inawezekana kwenda chuo na mambo yote yakaendelea kama kawaida lakini bado ameshikilia uzi huohuo wa mimi nisiende chuo.
Naombeni ushauri nisimamie wapi maana najikuta nawaza nashindwa kujua ni choose ni kitu gani.
Nb: Yeye amesoma
hahahaahh sio kumdanganya elimu ni bora kuliko unyumba, hahahahahha, yaani mtoto mdogo hata chuo hajaenda tayari anawaza kuolewa!Umeamua kumdanganya mwenzio?
Kwenye elimu uko sawa lakini kwenye kuolewa umemdanganya...hahahaahh sio kumdanganya elimu ni bora kuliko unyumba, hahahahahha, yaani mtoto mdogo hata chuo hajaenda tayari anawaza kuolewa!
good morning mkakaKwenye elimu uko sawa lakini kwenye kuolewa umemdanganya...
Siku hizi hakuna waoaji kiviiile...
I love you too...good morning mkaka
And so do II love you too...
Glad to know...And so do I
hhahahahaahah, mbavu zangu mieeeeeeeeeeeeeGlad to know...
Tuchukue hatua sasa... mambo ya elimu tuwaachie watoto.
Unaona sasa... mambo siriaz unayafanyia utani...hhahahahaahah, mbavu zangu mieeeeeeeeeeeee
sasa hebu tulia hapo chumbani kwako nakugongea muda si mrefu tuongee huko hahahahahahahahahahahahUnaona sasa... mambo siriaz unayafanyia utani...
Ewaaa... thats my girl.sasa hebu tulia hapo chumbani kwako nakugongea muda si mrefu tuongee huko hahahahahahahahahahahah
kwikwikwi ahahahahahha tehe tehe tehe teheEwaaa... thats my girl.
Now you are talking...
Utanikuta without kabisa...
We cheka tu. Mi nshaacha mlango wazi...kwikwikwi ahahahahahha tehe tehe tehe tehe