Naomba msaada katika scenario kama hii ya road accident

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,277
Reaction score
96,485
Kijana wangu alikuwa amebebwa na Bodaboda (pikipiki) pamoja na wenzake wawili wanakwenda shule (mshikaki). Gari likamgonga bodaboda kwa nyuma, mtoto akaanguka na kuumia . (by the way mmoja alikufa na mwingine escaped unhurt)

Msaada: Katika scenario kama hiyo namshitaki nani? Bodadoda au mwenye gari aliyegonga bodaboda nyuma na kusababisha ajali ya pikipiki?
 
Pikipiki hairuhusiwi pakia abiria 3
Abiria lazima awe na kofia ngumu
Pikipiki iwe na Bima
Mwendesha pikipiki awe na Leseni, avae kofia ngumu

Mchoro wa Trafic ndo utakusaidia zaidi
Kwenye ajali aliye nyuma ndo mwenye kufanya makosa
 
asante sana. sasa kwa kuanza nimshitaki nani? bodaboda au mwenye gari aliyegonga pikipiki
Kama walivyosema wengine road accident map ni ya muhimu kujua utamshtaki nani... Pamoja na traffic Case judgement ili ukienda kufungua case ya negligence usipate tabu kuprosecute kesi yako...

ila kwa mimi ningemshtaki mwenye Gari deep pocket utapata cha kueleweka😀
 
Pikipiki hairuhusiwi pakia abiria 3
Abiria lazima awe na kofia ngumu
Pikipiki iwe na Bima
Mwendesha pikipiki awe na Leseni, avae kofia ngumu

Mchoro wa Trafic ndo utakusaidia zaidi
Kwenye ajali aliye nyuma ndo mwenye kufanya makosa
Asante kwa mawazo. sasa nawashitaki nani na nani? Bodaboda na mwenye gari au mwenye gari nikishirikiana nan bodaboda. Insuarance itaingiaje?
 
Kijana wangu alikuwa amebebwa na Bodaboda (pikipiki) pamoja na wenzake wawili wanakwenda shule (mshikaki) . Gari likamgonga bodaboda kwa nyuma, mtoto akaanguka na kuumia . (by the way mmoja alikufa na mwingine escaped unhurt)

Msaada: katika scenario kama hiyo namshitaki nani? Bodadoda au mwenye gari aliyegonga bodaboda nyuma na kusababisha ajali ya pikipiki?

Tafuta hela kwa bidii umlee mtoto wako unavyoona wewe ni sawa, na aliyekufa amshtaki nani sasa?

Unatafuta mtaji wa kufungua kijiwe cha mkaa kwa madhila ya mtoto?

Mwenzako aliyefariki wanahangaikia Jeneza, baada kuuliza sadaka nzuri ya shukrani unauliza fidia??!!!
 
mwenye makosa unaweza kuwa ni wewe kwa kiruhusu watoto wako watatu wabebwe mshikaki kwenye bodaboda, na kosa la pili ni kuruhusu watoto wako wadogo wasioweza kujitete kupanda bodaboda.
Una mawazo mazuri, lakini kuna kitu kinaitwa novus actus interveniens....... kwamba kubeba mishkaki hakusababishi ajali..... hiyo itakuwa kesi inayojisimamia
 
Tafuta hela kwa bidii umlee mtoto wako unavyoona wewe ni sawa, na aliyekufa amshtaki nani sasa?

Unatafuta mtaji wa kufungua kijiwe cha mkaa kwa madhila ya mtoto?

Mwenzako aliyefariki wanahangaikia Jeneza, baada kuuliza sadaka nzuri ya shukrani unauliza fidia??!!!
watu kama wewe niliwategemea, It is no wonder, that is your thinking ceiling. Thanks, nayo ni mawazo! Ubarikiwe
 
Kijana wangu alikuwa amebebwa na Bodaboda (pikipiki) pamoja na wenzake wawili wanakwenda shule (mshikaki) . Gari likamgonga bodaboda kwa nyuma, mtoto akaanguka na kuumia . (by the way mmoja alikufa na mwingine escaped unhurt)

Msaada: katika scenario kama hiyo namshitaki nani? Bodadoda au mwenye gari aliyegonga bodaboda nyuma na kusababisha ajali ya pikipiki?
Gari automatically lina makosa na bima yake ndio itabeba gharama zote.. Pole sana brother
 
Pikipiki hairuhusiwi pakia abiria 3
Abiria lazima awe na kofia ngumu
Pikipiki iwe na Bima
Mwendesha pikipiki awe na Leseni, avae kofia ngumu

Mchoro wa Trafic ndo utakusaidia zaidi
Kwenye ajali aliye nyuma ndo mwenye kufanya makosa
Hii huwa huwezi kuamua kuhusu WA nyuma Bado, Kwani Kuna waendesha pikipiki wengi ni wanafunzi, kushika brakes hovyo, kutokuwa na uzoefu WA barabara nk,nk, pia ujasiri WA kupakia watoto kwenye bodaboda huwa najiuliza huyu mzazi amewezaje kupata ujasiri WA kuhatarisha Maisha ya mtoto Kwa level hiyo!? Huwa natokwa na machozi
 
Gari automatically lina makosa na bima yake ndio itabeba gharama zote.. Pole sana brother
asante sana. najua kuna watu wanasema mshikaki hauruhusiwi. Lakini hiyo ni kesi ya bodaboda , mimi hainihusu maana ni kosa la dreva kubeba mishikaki.......

Wewe ni mtu sensible, ngoja nikuwekeehii kesi uisome na unishauri
 
Attachments

Tafuta hela kwa bidii umlee mtoto wako unavyoona wewe ni sawa, na aliyekufa amshtaki nani sasa?

Unatafuta mtaji wa kufungua kijiwe cha mkaa kwa madhila ya mtoto?

Mwenzako aliyefariki wanahangaikia Jeneza, baada kuuliza sadaka nzuri ya shukrani unauliza fidia??!!!
Ajishtaki mwenyewe Kwanza Kwa kuruhusu kuhatarisha Maisha ya mtoto wake na kumsabishia madhara Makubwa
 
Kijana wangu alikuwa amebebwa na Bodaboda (pikipiki) pamoja na wenzake wawili wanakwenda shule (mshikaki) . Gari likamgonga bodaboda kwa nyuma, mtoto akaanguka na kuumia . (by the way mmoja alikufa na mwingine escaped unhurt)

Msaada: katika scenario kama hiyo namshitaki nani? Bodadoda au mwenye gari aliyegonga bodaboda nyuma na kusababisha ajali ya pikipiki?
Wa kushitakiwa ni wewe kwa uzembe.
 
Hii huwa huwezi kuamua kuhusu WA nyuma Bado, Kwani Kuna waendesha pikipiki wengi ni wanafunzi, kushika brakes hovyo, kutokuwa na uzoefu WA barabara nk,nk, pia ujasiri WA kupakia watoto kwenye bodaboda huwa najiuliza huyu mzazi amewezaje kupata ujasiri WA kuhatarisha Maisha ya mtoto Kwa level hiyo!? Huwa natokwa na machozi
Uko sahihi! Mchoro wa polisi hapo n muhimu kama alivyoshauri mmoja wetu hapa
 
Back
Top Bottom